Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί Ooooh nimekwisha mimi....
😁😁😁 Hainaga vipimo chuki chuki...
Nipe 1.5M yaani nahama mpaka jf humu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
kumbe ndo nyingi ivo,,bas wacha mm ni log out kwa mwaka 1 assee😁😁😁
 
Muombee Mungu sana, usipatwe na changamoto katika katika maisha, ambayo mtu pekee ambae hawez kukuonea kinyaa kukusaidia ni mke au Mama mzazi ....

fikiria,
hujaoa, umri umeenda, umepatwa na changamoto nzito, ndugu jamaa na marafiki wanakuonea kinyaa kukusaidia changamoto yako, uchumi umeyumba n.k

Aise,
mke au mume ni mtu muhimu sana asiee kwenye kukusitiri πŸ’
Uliyo yaeleza Mimi nishuhuda mke wangu amekua msaada mkubwa kwangu
 
Muombee Mungu sana, usipatwe na changamoto katika katika maisha, ambayo mtu pekee ambae hawez kukuonea kinyaa kukusaidia ni mke au Mama mzazi ....

fikiria,
hujaoa, umri umeenda, umepatwa na changamoto nzito, ndugu jamaa na marafiki wanakuonea kinyaa kukusaidia changamoto yako, uchumi umeyumba n.k
Hivi uko kwenye ndoa hizi changamoto za afya huwa zinatupata wanaume tu? Maana naona mara zote vitisho vinaelekezwa kwetu tu.
 
Back
Top Bottom