AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.
Mimi hata niwe na magumu kiasi gani ninapokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.
Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndio linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, nyie wanawake ndio mlivyo au ni mimi sijui ku-care?
Mliooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?