Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Umuhimu upo ila uo umuhimu uuone pia wakati wa raha sio uuone kwa faida ya kipindi cha matatizo.
Sahih sana, hatuoi ili tusaidiwe tukipata matatizo tunaoa ili tuenjoy maisha na ubora wa safar haupimwi mwishoni kama GPA ya Diploma, uboracwa safar ni average day to day scores.
 
nilkua naitafta hii aseeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilienda mara mwaka flan nkajiingjza mahusiaano na ka dada flan akawa akija tunarekebisha anaondoka weekend nikonqe poa s

Siku kashikq siamuyqngu niko bar kurudi ndan nkaona analia alipomaliza kulia nkamwambia sorry nn shida akanza nionyesha mamsg mmmh nkaona hapa n kuwa mpole omba samahan hawajui hioo

Dk 0 nkasikia.kibao kiliniingia nkasema nxty huyu ataniua
Nikifanya mchezo mwili utatengana na roho

nkamwomba tena radhi akaondoka amebamiza mlango kwan nililalaa tena ile.lodge kwa zakaria

Yaan kaondoka nkajua anakuja k na kisu huyu mambo ya its kapigwa kisu na gfriend mara nani anataka

Nkabadili Hotel pona yangu..nkachukua namba za manager napiga anasema kama toka saa moja kakaa bar anakunywa kvant loh nkazima na simu sikunzima

Kuna wengine hawanaga masiharaa yaan wanawake wa wa tarime acheni tu..sijui ni e nyongo inawapa nguvu eanajina lake kichuri loh

Niliapa nikienda kule bakaa single mpaka nimalize kazizangu
 

Dunia hii hii mkuu au nyingine. Kuna watu wana ndoa, watoto na marafiki ila wanakufa huku wakisaidiwa na majirani. Hakuna pesa wala msaada

Kwa ufupi usijiwekee uhakika wa msaada kwa mtu ambaye hamjawahi kupitia shida kubwa pamoja. Utakuwa disappointed
 
Ilikuaje mkuu
Nimeandika juuu tulikunywa ndan chumban gafla kulikuwa b
ma mechi nkaenda bar ya hotel kuangalia kurudi nakuta demu analia nkaona mmh simuhii

nkaomba radhi nkajua ameniewa amalize kulia akanifwata why this why m pdidy nkala mbwaa kibao sijawahi pigwa na wazazi nkasema hapa niwe mpole tu nikifanya mchezo ataniitia polisi loh akaongea kamaliza kabamiza mlangooo mpwa amefunga nkapaki vtu fasta nkhama Lodge na nililpa Week nzima nkajua akija huuyu anaweza rudi na kisu loh..

keshoyake nkapiga asbh kwa manager wa hotel kadai kama mapema yupo bar anakunywa nkazima na simu kabisa...mabinti wa tarime mara sio wa sport sport ukicheza unaondoka..mbya kipindi hicho kila ukifungua i
mke amkatakata mume tarime...mume kampiga kisu mkewe mara πŸ˜‚ isiwe taabu

Lile eneo nimeweka kwangu list ya eneo hatarishi
 
Safi kabisa, uvumilivu wa binadamu una kikomo na by nature mtu ni mbinafsi.
Pengine pesa zako zitakusaidia utahudumiwa na MaNurse mpaka mauti yako ila huku nje familia ikigombea utajir wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…