Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Kuna iyo ya kubadili mood ghafla na kujishaua kula izo tabia zinanikera sana. Mpo home story za hapa na pale unashangaa ghafla tu kanuna ukiuliza nini hajibu chochote, au mmetoka out anaagiza chakula au kinywaji halafu anagusa tu vichipsi viwili au anapiga kifundo kimoja cha soda ndo tayari kamaliza. Sasa hivi tukiaagiza kinywaji au chakula namwambia kabisa tangu mwanzo kama haujisikii kula au kunywa basi usiagize chochote hakuna atakaekulazimisha vinginevyo nakutimua hapa.
 
Nakazia ✍️ ✍️
Timu 'Kataa Ndoa' huwa hawajui hili
 
[emoji16] Punguza ubabe mkuuu.
 
Sqfi kabisa, weka code of conduct akishindwa kumatch apite hivi asitie hasara kizembe. Mimi aga akisusa namwekea cha ajabu nikitoka nikirud nakuta kimeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…