Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Amepona alhamdullillah 🙏🙏Madam nimekumiss,
Vipi hali ya mgonjwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepona alhamdullillah 🙏🙏Madam nimekumiss,
Vipi hali ya mgonjwa?
mimi siwezi kukaa na ku make mtu happy, sina huo mudaSpend life with who makes you happy
not who you have to impress.
Soma tena kwa utulivu comment yangu uliyoiquote,haisemi umfanye mtu kua happy.mimi siwezi kukaa na ku make mtu happy, sina huo muda
mimi nina mambo yangu, kama katika hayo mambo yangu utapata happiness ni sawa
Kimbelembele chako cha kutaka kuwa na Mapenzi na yeye kisikuponze yeye Muda mwingi anamuwaza X wake anaempenda ambae anajua kumsugua mpaka anarusha Mimaji, kwa HIO weka hilo akilini mwako usiishi kwa kumuwaza wakati yeye anamuwaza mtu mwingineMliooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Uhuh ukweli mchungu asee. Ila furesh nitazingatia.Kimbelembele chako cha kutaka kuwa na Mapenzi na yeye kisikuponze yeye Muda mwingi anamuwaza X wake anaempenda ambae anajua kumsugua mpaka anarusha Mimaji, kwa HIO weka hilo akilini mwako usiishi kwa kumuwaza wakati yeye anamuwaza mtu mwingine
Ushauri Na SaaUhuh ukweli mchungu asee. Ila furesh nitazingatia.
Sio dhambi mbona mitume na nabii waliishi na wanawake wengi.Alooooh, si wanasema ni dhambi ati.
SawaAah sio kweli, mapenz sijaanza jana na huwez nifundisha kitu🤣
Mkuu,Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.
Mimi hata niwe na magumu kiasi gani ninapokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.
Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndio linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, nyie wanawake ndio mlivyo au ni mimi sijui ku-care?
Mliooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Nitafute hela nikupe na bado nipate muda wa kukubembeleza..?Mwanaume asiyejua kubembeleza❌