Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

Mliooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Kimbelembele chako cha kutaka kuwa na Mapenzi na yeye kisikuponze yeye Muda mwingi anamuwaza X wake anaempenda ambae anajua kumsugua mpaka anarusha Mimaji, kwa HIO weka hilo akilini mwako usiishi kwa kumuwaza wakati yeye anamuwaza mtu mwingine
 
Uhuh ukweli mchungu asee. Ila furesh nitazingatia.
 
Asalaam,

Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.

Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.

Mimi hata niwe na magumu kiasi gani ninapokua na mwanamke hasira, huzuni, majonzi na simanzi zangu huweka pembeni ili nisimuambukize mwanamke wangu.

Hili suala la dakika mbili mbele nyuma ndio linanikwaza hasa, na si kwa huyu tu kote nilikowahi kupita mambo ni yale yale, nyie wanawake ndio mlivyo au ni mimi sijui ku-care?

Mliooa mnawezaje kumaster hii changamoto, au mnawapuuza tu watajua wenyewe?
Mkuu,

Nakuletea mwanamke anataka kukutumia message kila saa halafu kila siku muongee kwenye simu angalau masaa mawili.

Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom