KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu
Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela
Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao π€ maana chapaaa money π°π€π΅πΈπ·πΆπ·πΈπ΅ inasoma vyedi
1.) Ma rolls royce, bentley, g wagon yamepakiamo kwenye parking wengine hata baiskeli hatuna π’π
2.) Kila siku watu wanaingiza billion 3.5 kama faida daaaah π’ wengine budget ni 3500 daily π
3.) Watoto wanaenda shuleni na ma V8 wengine tunategemea daladala π
4.) Watoto Wanaenda pizza hut na kfc kama wanavyoenda chooni wengine tunakula kwa mama ntilie vyakula vya 1500 na bado vinatutoa jasho π’π
5.) Watoto wanasoma shule zenye gharama ya millioni 91 kwa mwaka wengine tunasoma za 500k tena kwa mbinde ππ’
6.) Watoto wanakataa scholarship na kazi mambele zenye mshiko wanarudi kuendeleza biashara za familia wengine tunasoma tunafaulu lakini hatujui kesho yetu tunasukumana ππ’
7.) Watoto wanadate na wanawake wa hadhi za juuu na kuhonga million 50 nikitu cha kawaida sana wengine mademu zetu ni chaputa au tubahatishe wengine wakitukubali (wake za watu) π
8.) Watoto wamezaliwa kwenye utajiri sisi wengine tumezaliwa kwenye hela tu maana hata 50 ni hela ππ’
Itoshe tu kusema moyo unavuja damu kwa maisha haya niliyozaliwa nayo sina chakufanya maana siwezi kurudi nyuma ya muda lakini naapa wanangu hawatapitia huu ukurumbembe ninaopitia
Haiwezekani kwenye ukooo wote hamna tajiri hata 1 hii ni aibu ni aibu kuliko neno lenyewe aibu
Nisipopata utajiri ni bora nizikwe na shahawa zangu tu kuliko kutungisha mimba na mwanangu aishimo kwenye hili dimbwi la umasikini
Najua kuna watu mtakuja kunibeza hapa na kunisema ooh rizika na ulichonacho weeee weeee weeee weee nyamaza kabisa
wivu wa maendeleo ni muhimu sana
Hapa chini ni baadhi ya picha kuwasilisha uzi.