kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
kumbe upo chuo basi ndo maana hata ukafikiria kufungua thread hii.Daaaah acha tu mi najuta kwakweli najuta wazazi kutoniandalia mazingira bora ya kutoboa maisha hapa chuoni nasoma tu ili mradi nifaulu...
Usipende kutaman vitu vya wenzako sababu hio ni dhambi.
Hv ushajiuliza kama duniani kila mtu angekua hao ulowataja tungeishije?
Inabidi uanze dozi ya meditation upate enlightenment juu ya maisha yako ni nn na kutambua purpose yako, ukifanya hvyo hutokaa unasononeka kwa mambo madogo kama haya.