Sidhani kama watoto wa MO au Bakhresa wanajuta kuzaliwa kwenye familia zao 🤔

Sidhani kama watoto wa MO au Bakhresa wanajuta kuzaliwa kwenye familia zao 🤔

Sasa sikia ndugu yangu masikini tupo kukumbusha matajiri kwamba utajiri ni neema na sio wa wote
Tajiri akitaka kua masikin anaweza
Ila sisi mafukara hata ukitaka kuigiza utajiri ndo utakosa hata hela ya kula
Tatizo sio umasikini, tatizo ni wewe kua kwenye hilo kundi la masikini wa mfano[emoji3]
 
mimi ni moja kati ya watu ambao marafiki zangu wengi tuluosoma primary, secondary adi chuo na ata wale tuliokuwa pamoja street wengi wao wamefanikiwa kiuchumi tena pakubwa mno. wanamiliki biashara kubwa, magari na majumba, mim bado aisee dunia hii
 
mimi ni moja kati ya watu ambao marafiki zangu wengi tuluosoma primary, secondary adi chuo na ata wale tuliokuwa pamoja street wengi wao wamefanikiwa kiuchumi tena pakubwa mno. wanamiliki biashara kubwa, magari na majumba, mim bado aisee dunia hii
Daah hapo ndo mawazo ya kujiua huwa yaja sasa au ujilipue tu kwa shetani daaah Mungu aturehemu tu 😔
 
Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu

Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela

Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao 🤔 maana chapaaa money 💰🤑💵💸💷💶💷💸💵 inasoma vyedi

1.) Ma rolls royce, bentley, g wagon yamepakiamo kwenye parking wengine hata baiskeli hatuna 😢😓

2.) Kila siku watu wanaingiza billion 3.5 kama faida daaaah 😢 wengine budget ni 3500 daily 😓

3.) Watoto wanaenda shuleni na ma V8 wengine tunategemea daladala 😓

4.) Watoto Wanaenda pizza hut na kfc kama wanavyoenda chooni wengine tunakula kwa mama ntilie vyakula vya 1500 na bado vinatutoa jasho 😢😓

5.) Watoto wanasoma shule zenye gharama ya millioni 91 kwa mwaka wengine tunasoma za 500k tena kwa mbinde 😓😢

6.) Watoto wanakataa scholarship na kazi mambele zenye mshiko wanarudi kuendeleza biashara za familia wengine tunasoma tunafaulu lakini hatujui kesho yetu tunasukumana 😓😢

7.) Watoto wanadate na wanawake wa hadhi za juuu na kuhonga million 50 nikitu cha kawaida sana wengine mademu zetu ni chaputa au tubahatishe wengine wakitukubali (wake za watu) 😊

8.) Watoto wamezaliwa kwenye utajiri sisi wengine tumezaliwa kwenye hela tu maana hata 50 ni hela 😓😢

Itoshe tu kusema moyo unavuja damu kwa maisha haya niliyozaliwa nayo sina chakufanya maana siwezi kurudi nyuma ya muda lakini naapa wanangu hawatapitia huu ukurumbembe ninaopitia

Haiwezekani kwenye ukooo wote hamna tajiri hata 1 hii ni aibu ni aibu kuliko neno lenyewe aibu

Nisipopata utajiri ni bora nizikwe na shahawa zangu tu kuliko kutungisha mimba na mwanangu aishimo kwenye hili dimbwi la umasikini

Najua kuna watu mtakuja kunibeza hapa na kunisema ooh rizika na ulichonacho weeee weeee weeee weee nyamaza kabisa

wivu wa maendeleo ni muhimu sana

Hapa chini ni baadhi ya picha kuwasilisha uzi.

View attachment 2571499View attachment 2571500
Watoto wanaweza kuwa wanajuta kwasababu wanafungiwa getini hawapati kucheza na majirani kama sisi tulivyocheza kombolela na kujifunza kudinyana humo humo kwenye kibaba baba na kimama mama.
 
Kasome tena ujue why hakuzaliwa hosp., wazazi walikuwa na uwezo sana tu ila hakukuwa na nafasi(vyumba) KABISA kwani vyote vilikuwa booked tayari. Acha kupotosha, soma uelewe!.
Yesu aliishi kimasikini ndomaana wazazi wake walitoa sadaka ya njiwa wawili badala ya kondoo kwasababu hawakuwa na uwezo wa kondoo (Walawi 12:6, na Luka 2:22-24)

Pia Yesu alimjibu mtu akisema "Mbweha wana mashimo, na nyuni wa angani wana viota, ila mwana wa Adam hana hata sehemu ya kulaza kichwa chake" (Mathayo 8:20) muwe mnasoma biblia na kuelewa, tangu lini seremala akawa Tajiri? Maana Yesu alifanya kazi ya useremala kama baba yake mlezi (Marko 6:3), au tuonyeshe maandiko ya utajiri na mali alizomiliki Yesu au Yosefu.
 
Back
Top Bottom