Hakuzaliwa hospital hii hapa sababu ya kwanza alikozaliwa nadhani unapajuaNakukemea! Acha upotoshaji. Hakuna maandiko yasemayo Yesu alikuwa MASIKINI, wala aliishi kimasikini. Msipotoshe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuzaliwa hospital hii hapa sababu ya kwanza alikozaliwa nadhani unapajuaNakukemea! Acha upotoshaji. Hakuna maandiko yasemayo Yesu alikuwa MASIKINI, wala aliishi kimasikini. Msipotoshe
Kasome tena ujue why hakuzaliwa hosp., wazazi walikuwa na uwezo sana tu ila hakukuwa na nafasi(vyumba) KABISA kwani vyote vilikuwa booked tayari. Acha kupotosha, soma uelewe!.Hakuzaliwa hospital hii hapa sababu ya kwanza alikozaliwa nadhani unapajua
Pili alikuwa ajulikani tatu imeandikwa wazazi walikuwa ni fund seremalaKasome tena ujue why hakuzaliwa hosp., wazazi walikuwa na uwezo sana tu ila hakukuwa na nafasi(vyumba) KABISA kwani vyote vilikuwa booked tayari. Acha kupotosha, soma uelewe!.
Kweli kabisa mkuu.Ni bora uwe na watt wachache lakin umewandalia future..Wazazi wengi ni wabinafsi mnoo,hawawazi kuhusu kesho ya watoto wao..mzazi anaweza kuwa na kazi nzuri na yenye Maslahi makubwa.
Kitu pekee anacho waza ni kujenga na kununua gari,hapo yeye anajiona kamaliza kabisa hivyo anasubiri kustaafu.
Haandai hata mazingira ya biashara na miradi mingine,kama urithi wa watoto hapo baadae,anachojua ni kulipa ada pekee ingali anajua wazi ugumu wa ajira ulivyo kwa sasa.
Wazazi tuache Ubinafsi..tuandae future za watoto wetu hata wajukuu zetu.
Ukiwa na maana gani?!Kuzaliwa masikin sio kosa lako, ukifa hvo ndio kosa lako
Itoshe kusema mpaka hapa, dogo hujakuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]matatizo ya ahueni[emoji23][emoji23]Sema matatizo ya matajiri yana ahueni kuliko yetu masikini mkuuu [emoji16][emoji16][emoji29]
RTIDWadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu
Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela
Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao [emoji848] maana chapaaa money [emoji383][emoji857][emoji385][emoji389][emoji386][emoji387][emoji386][emoji389][emoji385] inasoma vyedi
1.) Ma rolls royce, bentley, g wagon yamepakiamo kwenye parking wengine hata baiskeli hatuna [emoji22][emoji29]
2.) Kila siku watu wanaingiza billion 3.5 kama faida daaaah [emoji22] wengine budget ni 3500 daily [emoji29]
3.) Watoto wanaenda shuleni na ma V8 wengine tunategemea daladala [emoji29]
4.) Watoto Wanaenda pizza hut na kfc kama wanavyoenda chooni wengine tunakula kwa mama ntilie vyakula vya 1500 na bado vinatutoa jasho [emoji22][emoji29]
5.) Watoto wanasoma shule zenye gharama ya millioni 91 kwa mwaka wengine tunasoma za 500k tena kwa mbinde [emoji29][emoji22]
6.) Watoto wanakataa scholarship na kazi mambele zenye mshiko wanarudi kuendeleza biashara za familia wengine tunasoma tunafaulu lakini hatujui kesho yetu tunasukumana [emoji29][emoji22]
7.) Watoto wanadate na wanawake wa hadhi za juuu na kuhonga million 50 nikitu cha kawaida sana wengine mademu zetu ni chaputa au tubahatishe wengine wakitukubali (wake za watu) [emoji4]
8.) Watoto wamezaliwa kwenye utajiri sisi wengine tumezaliwa kwenye hela tu maana hata 50 ni hela [emoji29][emoji22]
Itoshe tu kusema moyo unavuja damu kwa maisha haya niliyozaliwa nayo sina chakufanya maana siwezi kurudi nyuma ya muda lakini naapa wanangu hawatapitia huu ukurumbembe ninaopitia
Haiwezekani kwenye ukooo wote hamna tajiri hata 1 hii ni aibu ni aibu kuliko neno lenyewe aibu
Nisipopata utajiri ni bora nizikwe na shahawa zangu tu kuliko kutungisha mimba na mwanangu aishimo kwenye hili dimbwi la umasikini
Najua kuna watu mtakuja kunibeza hapa na kunisema ooh rizika na ulichonacho weeee weeee weeee weee nyamaza kabisa
wivu wa maendeleo ni muhimu sana
Hapa chini ni baadhi ya picha kuwasilisha uzi.
View attachment 2571499View attachment 2571500
Inategemea furaha yao wanaipata wapi..!! We jiulize tu, ile mihogo ya Coco beach Dar, na vile vimishikaki vya kswahili, kuna mtu anatoka uswahili kwenda kula pale? Yaani mtu atoke Mbagala Kilungule afuate mihogo pale?Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu
Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela
Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao 🤔 maana chapaaa money 💰🤑💵💸💷💶💷💸💵 inasoma vyedi
1.) Ma rolls royce, bentley, g wagon yamepakiamo kwenye parking wengine hata baiskeli hatuna 😢😓
2.) Kila siku watu wanaingiza billion 3.5 kama faida daaaah 😢 wengine budget ni 3500 daily 😓
3.) Watoto wanaenda shuleni na ma V8 wengine tunategemea daladala 😓
4.) Watoto Wanaenda pizza hut na kfc kama wanavyoenda chooni wengine tunakula kwa mama ntilie vyakula vya 1500 na bado vinatutoa jasho 😢😓
5.) Watoto wanasoma shule zenye gharama ya millioni 91 kwa mwaka wengine tunasoma za 500k tena kwa mbinde 😓😢
6.) Watoto wanakataa scholarship na kazi mambele zenye mshiko wanarudi kuendeleza biashara za familia wengine tunasoma tunafaulu lakini hatujui kesho yetu tunasukumana 😓😢
7.) Watoto wanadate na wanawake wa hadhi za juuu na kuhonga million 50 nikitu cha kawaida sana wengine mademu zetu ni chaputa au tubahatishe wengine wakitukubali (wake za watu) 😊
8.) Watoto wamezaliwa kwenye utajiri sisi wengine tumezaliwa kwenye hela tu maana hata 50 ni hela 😓😢
Itoshe tu kusema moyo unavuja damu kwa maisha haya niliyozaliwa nayo sina chakufanya maana siwezi kurudi nyuma ya muda lakini naapa wanangu hawatapitia huu ukurumbembe ninaopitia
Haiwezekani kwenye ukooo wote hamna tajiri hata 1 hii ni aibu ni aibu kuliko neno lenyewe aibu
Nisipopata utajiri ni bora nizikwe na shahawa zangu tu kuliko kutungisha mimba na mwanangu aishimo kwenye hili dimbwi la umasikini
Najua kuna watu mtakuja kunibeza hapa na kunisema ooh rizika na ulichonacho weeee weeee weeee weee nyamaza kabisa
wivu wa maendeleo ni muhimu sana
Hapa chini ni baadhi ya picha kuwasilisha uzi.
View attachment 2571499View attachment 2571500
Na tukaitekelezeAna Hoja Asikilizwe
Usindanganye mtu bana ..... kua fukara ni rahisi kuliko kua tajiri, so ka kuna tajiri anapitia magumu mwambie aje huku kwetu ufukaroni hatukatai mtuKaka siri ya mtungi aijuae kata, usipende kutamani utajiri wa mtu ndugu yangu watu wanayopitia kwenye utajiri wao ni shida sana wanatamani kuishi kifukara sana wanayokutana nayo uko ni hatar sana but shukur mungu alichokupa pambana ipo day mungu atakupa
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu ya ufukara ilikua nisizae sema mapenzi yali nilaghai nikapata watoto wawili sasa wanavyonipelekesha kumaintain angalau robo ya standards za maisha niliyoyategemea hatakuvaa na kula vizuri siweziUnatakiwa kumlaumu aliyekutoa kiunoni mwake
Dogo unajua uhai, pumzi na uzima. Haki ya Mungu, Mungu anisamehe kwakuapia, ungekuwa unaishi Maruku ugonjwa wa Marburg ulipoanzia siungeishi na kufa kwa kihoro kabisaa. Ukiweza kupita hapo, utajifunza kuanza kuappreciate pumzi yako maana hayo infectious diseases ni chain or vicious cycle, hata uwe tajiri asilimia ya kukufikia ni 95%. Siku utakaa nakutafakari kumbe huu uhai wangu ni wamuhimu hivi na unathamani hivi maana hata ningekuwa kwenye ghorofa, ungekufikia pasipo kujali status yako. Ukivuka kihunzi hicho, utakaa chini na kuanza kupanga maisha yako bila lawama au kujutia. Nimetoa mfano halisi wa Tanzania, sijatolea mfano wa nje ya nchi yako. Tulia, upange maisha yako nauache tamaa wala lawama maana ukishusha maisha ya kila mtu kwenye basic level, utapigania uhai na pumzi yako kuliko utajiri. Sasa wewe unajuta na mkewe akajute kwanani na watoto wakajute kwanani. Standing stone ya taifa au dunia ni mwanaume, ndio maana utasikia misaada kwa wanawake na watoto ila simwanaume. Nataifa likianza, litaanza na kuwawezesha wanaume kwanza mfano ni DRC, siunajua walichokifanya lakini. Sasa unataka utoe lawama, ndio utaleta huo utajiri. Hizi medical na psychological facts zisikiage tu ila jua kuzichambua, umeambiwa kuwa wanaume tunabottom up machungu mengi vifuani mwetu, mwishowe hufa mapema au tunapata mental disorders. Ila jua wapi pakuziapply kutokana na jamii yako husika, hii ni nchi ya 3 kwauchumi, usiyaishi ya kitabuni kama vile ulimwengu wako ni wa 1. Hizo research zilifanyika huko ulimwengu wa 1. Acha lawama, napambana kufika juu, mzazi kakuzaa, kakulisha, kakutunza na kukupa elimu basi ujue kwa ulimwengu wetu amefanya mambo makubwa sana. Usimbeze, laasivyo njoo mikoani hasa huku kijijini utalia. Ila baba yako hakulaumu mtu.Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu
Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela
Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao [emoji848] maana chapaaa money [emoji383][emoji857][emoji385][emoji389][emoji386][emoji387][emoji386][emoji389][emoji385] inasoma vyedi
1.) Ma rolls royce, bentley, g wagon yamepakiamo kwenye parking wengine hata baiskeli hatuna [emoji22][emoji29]
2.) Kila siku watu wanaingiza billion 3.5 kama faida daaaah [emoji22] wengine budget ni 3500 daily [emoji29]
3.) Watoto wanaenda shuleni na ma V8 wengine tunategemea daladala [emoji29]
4.) Watoto Wanaenda pizza hut na kfc kama wanavyoenda chooni wengine tunakula kwa mama ntilie vyakula vya 1500 na bado vinatutoa jasho [emoji22][emoji29]
5.) Watoto wanasoma shule zenye gharama ya millioni 91 kwa mwaka wengine tunasoma za 500k tena kwa mbinde [emoji29][emoji22]
6.) Watoto wanakataa scholarship na kazi mambele zenye mshiko wanarudi kuendeleza biashara za familia wengine tunasoma tunafaulu lakini hatujui kesho yetu tunasukumana [emoji29][emoji22]
7.) Watoto wanadate na wanawake wa hadhi za juuu na kuhonga million 50 nikitu cha kawaida sana wengine mademu zetu ni chaputa au tubahatishe wengine wakitukubali (wake za watu) [emoji4]
8.) Watoto wamezaliwa kwenye utajiri sisi wengine tumezaliwa kwenye hela tu maana hata 50 ni hela [emoji29][emoji22]
Itoshe tu kusema moyo unavuja damu kwa maisha haya niliyozaliwa nayo sina chakufanya maana siwezi kurudi nyuma ya muda lakini naapa wanangu hawatapitia huu ukurumbembe ninaopitia
Haiwezekani kwenye ukooo wote hamna tajiri hata 1 hii ni aibu ni aibu kuliko neno lenyewe aibu
Nisipopata utajiri ni bora nizikwe na shahawa zangu tu kuliko kutungisha mimba na mwanangu aishimo kwenye hili dimbwi la umasikini
Najua kuna watu mtakuja kunibeza hapa na kunisema ooh rizika na ulichonacho weeee weeee weeee weee nyamaza kabisa
wivu wa maendeleo ni muhimu sana
Hapa chini ni baadhi ya picha kuwasilisha uzi.
View attachment 2571499View attachment 2571500
Safi sana mkuuNdio maana nasema humu kwenye mitandao ukiona Mtu ana matusi sanaa ujue anaishi maisha ya kipweke na hayupo happy na maisha yake,
Watu wamekua wakitumia mitandao ya kijamii kutukana watu, kudhalilisha watu wakiamini watapunguza machungu wanayopitia kumbe ndio kwanza wanaongeza, guilty + Karma.....
Kwanini nimeanza na hayo, umekua ukinitukana sana kwenye kila comment na alhamdulillah sijawahi kukujibu sababu nilijua fika unapitia kipindi kigumu kwa hiyo unatafuta mtu wa kummwagia nyongo, mara ya mwisho ulipigwa ban kwa matusi uliyonimwagia ulivyorudi ukabadili id name....
Nikushauri tu ndugu yangu, humu kwenye mitandao ukiitumia vizuri utapata connection, utapata marafiki, utapata ndugu, haijalishi unapitia magumu kiasi gani, jaribu kua humble na ukiona kuna fursa fulani mfate mtu muulize kiungwana kwa kua file lako litasoma vizuri unajikuta unapata connection na mambo yanafunguka....
Kama unahisi unatatizo lolote la kisaikolojia, tafadhali wasiliana na mimi, naweza kukusaidia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nasema humu kwenye mitandao ukiona Mtu ana matusi sanaa ujue anaishi maisha ya kipweke na hayupo happy na maisha yake,
Watu wamekua wakitumia mitandao ya kijamii kutukana watu, kudhalilisha watu wakiamini watapunguza machungu wanayopitia kumbe ndio kwanza wanaongeza, guilty + Karma.....
Kwanini nimeanza na hayo, umekua ukinitukana sana kwenye kila comment na alhamdulillah sijawahi kukujibu sababu nilijua fika unapitia kipindi kigumu kwa hiyo unatafuta mtu wa kummwagia nyongo, mara ya mwisho ulipigwa ban kwa matusi uliyonimwagia ulivyorudi ukabadili id name....
Nikushauri tu ndugu yangu, humu kwenye mitandao ukiitumia vizuri utapata connection, utapata marafiki, utapata ndugu, haijalishi unapitia magumu kiasi gani, jaribu kua humble na ukiona kuna fursa fulani mfate mtu muulize kiungwana kwa kua file lako litasoma vizuri unajikuta unapata connection na mambo yanafunguka....
Kama unahisi unatatizo lolote la kisaikolojia, tafadhali wasiliana na mimi, naweza kukusaidia.
Wazazi wengi ni wabinafsi mnoo,hawawazi kuhusu kesho ya watoto wao..mzazi anaweza kuwa na kazi nzuri na yenye Maslahi makubwa.