Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Ndio maana nasema humu kwenye mitandao ukiona Mtu ana matusi sanaa ujue anaishi maisha ya kipweke na hayupo happy na maisha yake,
Watu wamekua wakitumia mitandao ya kijamii kutukana watu, kudhalilisha watu wakiamini watapunguza machungu wanayopitia kumbe ndio kwanza wanaongeza, guilty + Karma.....
Kwanini nimeanza na hayo, umekua ukinitukana sana kwenye kila comment na alhamdulillah sijawahi kukujibu sababu nilijua fika unapitia kipindi kigumu kwa hiyo unatafuta mtu wa kummwagia nyongo, mara ya mwisho ulipigwa ban kwa matusi uliyonimwagia ulivyorudi ukabadili id name....
Nikushauri tu ndugu yangu, humu kwenye mitandao ukiitumia vizuri utapata connection, utapata marafiki, utapata ndugu, haijalishi unapitia magumu kiasi gani, jaribu kua humble na ukiona kuna fursa fulani mfate mtu muulize kiungwana kwa kua file lako litasoma vizuri unajikuta unapata connection na mambo yanafunguka....
Kama unahisi unatatizo lolote la kisaikolojia, tafadhali wasiliana na mimi, naweza kukusaidia.
Hahah dah! Kumbe ndio hivyo.
humu mitandaoni utakuta mtu anakushambulia hadi unabaki unashangaa vipi?
Kumbe tatizo ni psychology