Sasa usipotamani maisha ya matajiri utawezaje kuwa na hard working aura kwenye nafsi yako ili hali
Ukimuuliza mtu kwann unataka kuwa tajiri utasikia ninunue nyumba nzuri kama ya Mo au nile watoto wazuri kama mond au ninunue gari zuri kama la cr7
Sasa hiyo ni nn si tamaa hamna mtu anayetafuta utajiri ambaye hakuwahi kutamani utajiri wa mwenzake au mafanikio ya mwenzake
Dunia ya sasa lazima ujilinganishe na watu mkuuu ili upate moyo wa kufight maana hij ni competition mkuuuu
Huishi pekeako duniani lazima utake kuwa best of the best tu