Sidhani kama watoto wa MO au Bakhresa wanajuta kuzaliwa kwenye familia zao πŸ€”

Sasa sikia ndugu yangu masikini tupo kukumbusha matajiri kwamba utajiri ni neema na sio wa wote
Tajiri akitaka kua masikin anaweza
Ila sisi mafukara hata ukitaka kuigiza utajiri ndo utakosa hata hela ya kula
Tatizo sio umasikini, tatizo ni wewe kua kwenye hilo kundi la masikini wa mfano[emoji3]
 
mimi ni moja kati ya watu ambao marafiki zangu wengi tuluosoma primary, secondary adi chuo na ata wale tuliokuwa pamoja street wengi wao wamefanikiwa kiuchumi tena pakubwa mno. wanamiliki biashara kubwa, magari na majumba, mim bado aisee dunia hii
 
mimi ni moja kati ya watu ambao marafiki zangu wengi tuluosoma primary, secondary adi chuo na ata wale tuliokuwa pamoja street wengi wao wamefanikiwa kiuchumi tena pakubwa mno. wanamiliki biashara kubwa, magari na majumba, mim bado aisee dunia hii
Daah hapo ndo mawazo ya kujiua huwa yaja sasa au ujilipue tu kwa shetani daaah Mungu aturehemu tu πŸ˜”
 
Watoto wanaweza kuwa wanajuta kwasababu wanafungiwa getini hawapati kucheza na majirani kama sisi tulivyocheza kombolela na kujifunza kudinyana humo humo kwenye kibaba baba na kimama mama.
 
Kasome tena ujue why hakuzaliwa hosp., wazazi walikuwa na uwezo sana tu ila hakukuwa na nafasi(vyumba) KABISA kwani vyote vilikuwa booked tayari. Acha kupotosha, soma uelewe!.
Yesu aliishi kimasikini ndomaana wazazi wake walitoa sadaka ya njiwa wawili badala ya kondoo kwasababu hawakuwa na uwezo wa kondoo (Walawi 12:6, na Luka 2:22-24)

Pia Yesu alimjibu mtu akisema "Mbweha wana mashimo, na nyuni wa angani wana viota, ila mwana wa Adam hana hata sehemu ya kulaza kichwa chake" (Mathayo 8:20) muwe mnasoma biblia na kuelewa, tangu lini seremala akawa Tajiri? Maana Yesu alifanya kazi ya useremala kama baba yake mlezi (Marko 6:3), au tuonyeshe maandiko ya utajiri na mali alizomiliki Yesu au Yosefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…