BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Sina haja ya kusoma thread yako. Ila kama kweli unadhani Tundu Lissu anaweza kuwa Rais wa Nchi hii especially 2020 basi inatakiwa tukukute Mirembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikukute milembe ulikotangulia?? Vipi dose yako umemaliza? Sio kila kitu lazima ukomenti mkuu vingine upite tu wenye akili watasoma vizuri.Sina haja ya kusoma thread yako. Ila kama kweli unadhani Tundu Lissu anaweza kuwa Rais wa Nchi hii especially 2020 basi inatakiwa tukukute Mirembe
Heheee si mlisema mpaka 2020 chadema itakufa?? Mbona tupo? Tena tuna furaha tele. Mkanywe sumu sasa.mtaendelea kuichukua kupitia mitandaoni
Wasomi wote tunakutana hapa.Mtandaoni is our special forum
Aya inayojitosheleza ni hii hapa mkuu 'Pythagoras'.Tulipata janga kama taifa baada ya kuongozwa na Mh Rais Magufuli ambaye aliokota urais kama embe chini ya mnazi kwa kupewa na wale wanaoitwa wenye nguvu. Matokeo yake nchi imekuwa ni vilio vitupu, hali mbaya ya uchumi na uliopo kuwa wa makaratasi tu. Hali mbaya ya amani, upendo kufifia na hofu kutawala nchini. Sasa kila mtu anahaha namna ya kumwondoa huyu aliyeshika mizizi pasipo kuwa na mvuto kwa watanzania. Mwaka 2015 nchi yetu iliingia katika janga la kiurais kwa kumpata Rais asiyekuwa na uwezo wa kudumisha utawala wa kisheria, kuheshimu katiba na uhuru wa kisisasa, Kiuchumi na kijamii.
Yor are right. He is not settled. Maamuzi yake Jpm ni ya kukurupuka ndio maana leo teua kesho tumbua. Hajui anachotaka.Aya inayojitosheleza ni hii hapa mkuu 'Pythagoras'.
Tundu Lissu, hata asipokuwa na uwezo wa kujua uchumi (Magufuli anajua nini kuhusu uchumi)..., lakini akawa ni kiongozi anayeheshimu haki za raia wake, utawala wa sheria, akafuata maelekezo ya Katiba, mambo yote ambayo Lissu tayari anayo; haya yanampa sifa kubwa ya kuwa kiongozi wa nchi hii.
Ukitaka kujua ubovu wa uongozi wa Magufuli, tazama teuzi zake na kasi ya utumbuaji. Hii ni ishara kamili kwamba sio kiongozi mzuri. Ina maana watu anaowateua, halafu mara moja akawaona wabovu, hiyo ni alama ya ubovu wa uongozi wake.
Kiongozi mzuri huchambua sifa anazozitaka kwa wateule anaowaweka, hawezi kuwa anabahatisha kila mara kama anavyofanya Magufuli katika ngwe yake hii ya miaka mitano.
Sifa mbaya kabisa itakayokuja kumdidimiza kabisa Magufuli hata asitambulike kuwa kiongozi wa nchi, ni huku kung'ang'ania atakakotaka kukufanya ili abaki madarakani licha ya wapiga kura kumkataa.
Hili litakuja kumwondolea sifa zote, hata katika mambo mazuri aliyojaribu kuyafanya ndani ya miaka mitano hii.
Nikukute milembe ulikotangulia?? Vipi dose yako umemaliza? Sio kila kitu lazima ukomenti mkuu vingine upite tu wenye akili watasoma vizuri.
Hata kama una mapenzi mengi na Tundu Lissu huwezi kuwaza kwamba anaweza akaja hapa mwisho wa mwezi then october akawa Rais wa Tanzania!!!! Are you serious???
Kama hatakuelewa hapa basi kichwa chake ni kigumu kama cha huyo mteuzi wao.Kwa hiyo unadhani kuwepo kwake ughaibuni ndio sababu ya kutokuwa Rais??
Mkuu unamjua Felix Tshisekedi wa DRC, Nelsom mandela alikaa gerezani miaka mingapi kabala ya kuwa rais sembuse lisi yuko kwenye matibabu ya miaka mitatu tu?? Una habari kuwa Rais Robert Mugabe alifungwa jela kabla ya kuwa Rais?? Unajua kuwa Maj. Gen Yoweri Mseven alikuwa mkimbizi aliyejificha ukimbizini Tanzania wakati wa Miltoni Obete na badae Iddi amin Dada?? Unafahamu kuwa Rais Paul Kagame alikuwa mkimbizi nchini Uganda na Badae kusomea Director of military intelligence aliporudi mwaka 1994 mwaka huo huo akachukua nchi kwa mapamnano aliyoacha Maj Gen Rwigyema hapo kabla.
Nini kinakufanya uone ajabu kwa Tundu Lissu kuwa rais eti kwa sababu hayupo nchini miaka 3.
Anajichuria kifo😆😆Kama hatakuelewa hapa basi kichwa chake ni kigumu kama cha huyo mteuzi wao.
Cha kufurahisha ni kuwa Magu Jana kafanya tafrija kubwa sana kwa wanaccm wenzake pale Ikulu Chamwino ya kuiaga Ikulu yeye na chama chake.
Aangalia tu idadi ya comments na views za mada zinazuhusu Lisu utagundua kuwa chadema iko Death bed.Angalia hata hii tuHeheee si mlisema mpaka 2020 chadema itakufa?? Mbona tupo? Tena tuna furaha tele. Mkanywe sumu sasa.
Mwanafalsafa wa time zote haishii tu kwenye calculusNadhani wewe Ni mkali tu kwenye mathe kumbe hata siasa?
Which system?We don't choose leaders the system does