Uchaguzi 2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

Faida za Tundu Lissu Kuwa Rais ni nyingi sana.
Sifa na Ubora wa Mh.Lissu kama Presidential Candidate ndio ulio/unaomfanya awe target (Shabaha) ya wale wote wanaozifahamu.
Hasa CCM Mpya,ukitaka kuzifahamu hizo sifa anzisha Uzi kumhusu Lissu hapa jamvini uone na kinyume chake ndiyo ukweli.Cococahanel,USSR,Kioara Kipya etc.Watakachonena kumhusu Rais wa Watanzania Bara&Visiwani Mh.T.L..
 
Exactly, Lissu is the only and best choice for now. Every one knows this truth
 
Hata kama una mapenzi mengi na Tundu Lissu huwezi kuwaza kwamba anaweza akaja hapa mwisho wa mwezi then october akawa Rais wa Tanzania!!!! Are you serious???
kunyweni maji mengi mkuu ,alafu someni matendo ya mitume
 
Nina uhuru wa kuota ndoto! Ninatabiri kwamba kila risasi iliyo penya kwenye mwili wa Lisu ni watu milioni 1! Kama nusu ya hao watu wakipiga kura, anaingia ikulu!

Ni watu wachache sana, ambao wapo tayari kuusimamia ukweli wanao uamini hata kama itagharimu maisha yao! Juzi tu hapa tumeona watu wameogopa kukosa posho ya wiki 2 mpaka wakadiriki kulia machozi wakisaliti misimamo yao. Wengi wamenunuliwa, hata waliotukana walionunuliwa (Julius Kalanga) nao wakanunuliwa badaye!

Lisu ana risasi mwilini na majeraha ya risasi na visu vya madaktari! Amehatarisha maisha yake kwa ajili ya nchi yake, huu ni uzalendo uliotukuka! Hakuna Mtanzania anastahili kuongoza nchi hii, kwa sasa, kama Lisu, labda ajitokeze atakaye pigwa risasi 17 akitutetea, ampiku Lisu! Ni Yeye!
 
Machozi, damu na jasho...kafara linaloishi ndani ya roho hai
 
Lissu anadamu mikononi mwake za wafuasi wa cdm wahanga aliowahadaa waandamane na kupambana na vyombo vya dola akijidai mpinga ufisadi na mpambania raslimali za nchi.

Baadaye akageuka kuwa ndiye mpambanaji namba moja wa kukingia kifua wezi wa makanikia.
 
Back
Top Bottom