Uchaguzi 2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

1. Ni kiogozi shupavu na jasiri, hili litamwezesha kufabya maamuzi magumu na yenye tija kwa taifa. Wananchi wanaamini hataishia maneno ya majukwani tu bali atatenda kwavitendo na sio maigizo kama ya Rais Mafufuli.

*************
Kumbe kuiuza nchi yako kwa mabeberu ni ushupavu? Kumbe kushirikiana kuihujumu nchi ni ujasiri na hili la maamuzi magumu unamaanisha kuzikamatisha Ndege zetu kwa mkulima?

Hakika kuwa uyaone.

***************

3. Uwezo wa kutuvusha kiuchumi. Mhe Tundu Lissu anafahamika vyema kama mpambanaji wa maslahi kwa wananchi. Anajua vyema changamoto za maisha ya wananchi. Sio kujenga fly over ya mita 500 ubungo na kwenda kuimbia nyimbo tandahimba! INAHUSU!!

*********
Kama alishindwa kuishauri Chadema kujenga ofisi ya makao makuu anaweza kujenga nchi?

Kama ameshindwa kuiongezea vyanzo vya mapato TLS akiwa Rais ataweza kuiongezea nchi mapato?

***********

5 . Ni msema kweli. Hili ni sifa bora kabisa ktk utawala wa dunia ya kwanza zilizoendelea. Hawezi kusema kuwa tatizo halipo kwa kulificha. Mdororo wa uchumi na uhusiano wa kimataifa umekuwa ndio wimbo wake siku zote kiasi mahasimu wake wasiopenda ukweli kumwinda na pengine kutaka kuondosha uhai wake. Lisu ni mpenzi wa Mungu kweli kweli.

**********
Naona umeamua ku control C na ku control V
Taja sifa za mgombea wako tuzione. Hizo ni za Mgombea wetu. Ukubali au ukatae huo ndio ukweli.
 
Niko tayari kumpigia kura TL sijawahi kuyumbishwa
 
haina haja ya watu kujitokeza kila mda maaana jamaa anakubalika nje na ndan ya nchi!! kiukwel tumechoshwa na upinzani uchwara kila mara kuchukua watu wa ccm badala ya kuchukua watu wao wenyewe, sitaki kuweka picha za upande wa pili maana ni aibu ila mwenye macho apa anaona
View attachment 1505623
Wengi wanakuja Kuokota zile pesa anazomwaga but hakuna jipya
 
1. Ni kiogozi shupavu na jasiri, hili litamwezesha kufabya maamuzi magumu na yenye tija kwa taifa. Wananchi wanaamini hataishia maneno ya majukwani tu bali atatenda kwavitendo na sio maigizo kama ya Rais Mafufuli.

*************
Kumbe kuiuza nchi yako kwa mabeberu ni ushupavu? Kumbe kushirikiana kuihujumu nchi ni ujasiri na hili la maamuzi magumu unamaanisha kuzikamatisha Ndege zetu kwa mkulima?

Hakika kuwa uyaone.

***************

3. Uwezo wa kutuvusha kiuchumi. Mhe Tundu Lissu anafahamika vyema kama mpambanaji wa maslahi kwa wananchi. Anajua vyema changamoto za maisha ya wananchi. Sio kujenga fly over ya mita 500 ubungo na kwenda kuimbia nyimbo tandahimba! INAHUSU!!

*********
Kama alishindwa kuishauri Chadema kujenga ofisi ya makao makuu anaweza kujenga nchi?

Kama ameshindwa kuiongezea vyanzo vya mapato TLS akiwa Rais ataweza kuiongezea nchi mapato?

***********

5 . Ni msema kweli. Hili ni sifa bora kabisa ktk utawala wa dunia ya kwanza zilizoendelea. Hawezi kusema kuwa tatizo halipo kwa kulificha. Mdororo wa uchumi na uhusiano wa kimataifa umekuwa ndio wimbo wake siku zote kiasi mahasimu wake wasiopenda ukweli kumwinda na pengine kutaka kuondosha uhai wake. Lisu ni mpenzi wa Mungu kweli kweli.

**********
Naona umeamua ku control C na ku control V
Taja sifa za mgimbea wako tuzione. Hizo ni za Mgombea wetu. Ukubali au ukatae huo ndio ukweli.
Pole kwa kuchoka , Zaidi ya 50% na kuendelea wanazidi kumuelewa.
Hivyo vumilia tu.
Amechikwa bin taaban na cgama lake.
Ndoto za alinacha.....ivi huyu alinacha aliota nini lakini?
Tukuulize wewe
 
Lissu is our saviour , I hope that after archived to rule this country, First we suppose to arrest Juma maharage and his family , and to keep them in jail without bail
Mama Janet nitamwekea dhamana mama wa watu hana shida yoyote
 
Mliutumia vibaya uungwana wa Kikwete, mkamuona dhaifu. JPM kawadhibidi kila kona, mmebaki kutapatapa.
Wanao tapatapa ni shangazi na bibi zako wa tandahimba ambao bado hawajalipwa pesa za korosho hadi leo na bado mbaazi ikashuka bei kutoka 1500 hadi 100 kwa kilo shetani mweusi
 
1. Ni kiogozi shupavu na jasiri, hili litamwezesha kufabya maamuzi magumu na yenye tija kwa taifa. Wananchi wanaamini hataishia maneno ya majukwani tu bali atatenda kwavitendo na sio maigizo kama ya Rais Mafufuli.

*************
Kumbe kuiuza nchi yako kwa mabeberu ni ushupavu? Kumbe kushirikiana kuihujumu nchi ni ujasiri na hili la maamuzi magumu unamaanisha kuzikamatisha Ndege zetu kwa mkulima?

Hakika kuwa uyaone.

***************

3. Uwezo wa kutuvusha kiuchumi. Mhe Tundu Lissu anafahamika vyema kama mpambanaji wa maslahi kwa wananchi. Anajua vyema changamoto za maisha ya wananchi. Sio kujenga fly over ya mita 500 ubungo na kwenda kuimbia nyimbo tandahimba! INAHUSU!!

*********
Kama alishindwa kuishauri Chadema kujenga ofisi ya makao makuu anaweza kujenga nchi?

Kama ameshindwa kuiongezea vyanzo vya mapato TLS akiwa Rais ataweza kuiongezea nchi mapato?
Unadhani wewe unavyojirahisisha kule mombasa na wengine wapo hivyo? mbona we huna marinda na tumenyamaza au unataka tuseme? shetwani we, LISSU NDIYE RAIS na kama hutaki rud mombasa ukaendelee na kazi ulopewa na shetani
 
Tundu lisu ni mtu wa kupanik na anamhemko wa ajabu sijui niseme jazba?
Hawezi kuendesha nchi..
Anko magu ndo mwenye uwezo wa kuongoza nchi hii
 
Wangekuwa na Drones wangezituma zimmaliza huko huko ujerumani alikofika.😆😆
Tena kama yule yesu wa kichina a.k.a yesu feki akisikia jina la LISSU ni kama shetani akisikia jina la Yesu lazima n'nya igonge boxer, maana anawaza bunduki ilishindwa sasa atatumia silaha gani? Amini nawambieni LISSU akitia maguu kuna mtu atavishwa PAMPASI ili ajiselfie humohumo.
 
Tundu lisu ni mtu wa kupanik na anamhemko wa ajabu sijui niseme jazba?
Hawezi kuendesha nchi..
Anko magu ndo mwenye uwezo wa kuongoza nchi hii
Yaani we ndo mshamba wa chattle kama siyo burigi kama LISSU ana mihemuko huyo unaemsifia mbona alitumia bunduki utafikiri tupo WWII?
 
Tunashukuru kwa sifa alizo mwagiwa Tundu Lisu. Naweza kusema kuwa Tundu Lisu hana sifa hizo za kuweza kumfanya awe raisi wa jamuhuri ya mungano wa Tanzania. CHADEMA kimekuwa ni chama kinacho tumia udhaifu mkubwa wa ukosefu wa ufahamu unao wakumba watanzania walio wachache. Huwezi sema lisu awe raisi wa jamuhuri ya mungano huku akiwa amekosa koti la uzalendo juu ya nchi yake. Huwezi fungulia kesi nchi yako ingali ipo katika mapambano ya kujikwamuwa kiuchumi. Lisu kakosa kuonyesha uzalendo huo kwa nchi yake. Tulitegemea kumwona akitowa support kwa JPM.Tanzania hamna wapinzani wa kweli mtu anaka uko ughaibuni muda wote kwa kazi ipi Zaidi ya kubebwa na mabepari kila siku ni kupiga makelele mitandaoni nakutumia udhaifu wa ukosefu wa uwelewa wa watanzania walio wachache.Lisu siyo mwajibikaji wa kweli kwasababu ya kushindwa kutetea jimbo lake na kuweza kuwapambania wananchi wake katika kuleta maendeleo, anaitwa kurudi kazini anasingizia matibabu ya sio kuwa na mwisho na kusingizia serikali hampi hata pesa ya matibabu kumbe ni uwongo mtupu. Tanzania sasa tunatakiwa kungana na kushikamana kuwa kitu kimoja na si kupiga kelele na mboyoy zisizo na misingi yoyote Zaidi ya kupotosha walio wachache wanao kwamisha maendeleo ya Taifa. “Leadership is less about the position you hold than the influence you have. It's about doing world-class work, playing at your peak, and leaving people better than you found them. It's about Leading Without a Title.” ~ Robin Sharma
Huu ndo uandishi gani wewe? Hii ni dalili upo ktk foleni ya kupata msaada wa tohara under US aid ukiwa huko Ikungulyabashashi kwa joka la makengeza halafu unasifia uchumi wa kati na akati bila USAID ungekufa na mkono wa sweta nyambafu.
 
Tena kama yule yesu wa kichina a.k.a yesu feki akisikia jina la LISSU ni kama shetani akisikia jina la Yesu lazima n'nya igonge boxer, maana anawaza bunduki ilishindwa sasa atatumia silaha gani? Amini nawambieni LISSU akitia maguu kuna mtu atavishwa PAMPASI ili ajiselfie humohumo.
Fabricated Jesus😅😅
 
Yaani we ndo mshamba wa chattle kama siyo burigi kama LISSU ana mihemuko huyo unaemsifia mbona alitumia bunduki utafikiri tupo WWII?
Eti anayeongea maneno matupu na mwingine anatumia Ak47 nani ni wa kupaniki??
 
Back
Top Bottom