1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Adui namba moja wa Lisu ni Mlevi mmoja anayeitwa Mbowe.
Amini usiamini Mbowe atakapobaini kuwa Lisu anakubalika na kuwa kuna uwezekano wa kupata kura nyingi za kumpa ushindi na watanzania wanamkubali ,Mbowe kama wafanyabiashara wengine wengi walivyo na roho za kuvutia kila mteja kwao na kufanya hata hujuma kwa mshindani wake , atatumia kila hila kumfanyia hujuma Mbaya kabisa Lisu.
Mfanyabiashara kuongoza Chama ni jambo la ajabu sana. Nawajua sana wafanyabiashara na roho walizonazo wanapoona maslahi yao yanataka kupotea au kupungua kutokana ushindani. Hawajawahi kuwa na huruma hasa wale wanaotekea nyumbani kwa Lema Mbunge wa Arusha. Ndio maana kabla ya Mtetezi wa Wanyonge Mh. Rais Magufuli kuingia madarakani Arusha iligeuka kuwa Pango la wafanyabiashara Wanyanganyi na nguzo kubwa ya Chadema.
Tujikumbushe kidogo :-
Lowasa inasadikiwa na kuna tetesi kuwa alipata kura zaidi ya mil.10 kwa maana kuwa alishinda kura za urais. Sasa tunajiuliza ilikuaje mtu aliyeshinda Chini ya Uenyekiti wa kiumbe Mlaghai ,mbinafsi na mwenye hila karibia na kiumbe Lusifer yaani Mbowe anatelekezwa na kufanyiwa hila mpaka akaamua kuondoka kwenye chama na kuamua kuokoka na kurudi alikotoka kama maana mpotevu. Kwa nini Mbowe yeye anakaa Madaraka ya uenyekiti bila kikomo huku akibadili wagombea wa Urais kila baada ya Miaka mitano.
Kama kweli Lowasa alivuta watu mil. 10 kuipigia chadema kura kwa nini asingeachwa mwaka huu akajaribu tena na sio kuambiwa Live kuwa hatapitishwa kugombea jambo lililomfanya aondoke mana alikuja Chadema kugombea Urais kwa urahisi.