Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

Hao wanawake waliotoka familia za kitajiri tz wako wangapi? Wewe kipimo chako cha mtu tajiri ni kipi?
 
Inaonekana kwenu nyie matajiri sana mkuu.... Na je unakumbuka kuwaambia dada zako na watoto wa kike wa ndugu zako huko nyumbani watunze bikra zao...... Bila kusahau una miaka mingapi..... Kwa maan unawashauri watu wasioe wanawake masikini, wasioe wanawake ambao sio bikra, wasioe wanawake lalalala...... Umekumbuka kuongea kuhusu upendo wa dhati.... Umekumbuka kuongea kuhusiana na wanaume wanaotoa bikra za ma binti wakumbuke kuwaoa haohao waliowavunja bikra...... Unataka kuwaaminisha wanaume wenzio kua mwanamke tajiri ndio anafaa kwa matumizi ya nyumbani pekee.....Kama ww ni kinara wa kuharibi mabinti za watu acha..... Kama kuna pahala sijaelewa na nmejibu kwa lugha mbaya nisamee sana[emoji2955][emoji2955]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wenzio Tulianza hivyohivyo,Sasa hivi tunatafuta Single mother!!
 
Mkuu labda nikuambie tu kitu, sisi jamii yetu wengi wanaolewa bikra lakini ndio wanaongoza kuachika,au kugeuka wahuni wa kutupwa.mpaka kufikia hatua wanaume kujuta, nachoona Bora umuombe Mungu akupe mwanamke sahihi.hakuna mwanamke mbaya kama bikra akijua utam wa dushe huwezi mshika utaumizwa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…