The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Mi awe amesoma Weruweru girls tu inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hayo masihara tuu mkuu ,kama ambavyo we umesema mie napigia mstari tuni kigezo tosha kabisa kwako kufunga ndoa na kuanzisha nae familia?
Mi awe amesoma Weruweru girls tu inatosha
Mlishindwana nn kaka[emoji1]Nimeoa weru weru alumni ila ndoa imevunjika.. pasua kichwa balaa
Mlishindwana nn kaka[emoji1]
Sina mentality hiyo ya "Tafuta Pesa" kana kwamba kuna uhaba wa pesa , pesa zipo na kila siku zina printiwa.Tafuta pesa Brother, acha makasirikoooooo.
Tafuta helaaaa....
100% trueSawa mkuu .. !
Ila usioe masikini wa mali na akili ...maisha yako na familia yako yatakuwa ya taaabu sana
Aisee!Yes atoke familia wanaojiweza wenyewe wasiwe tegemezi (ndugu lawama) mimi si3ndi kuoa katika ukoo wao kutoka kwenye umasikini, hilo ni jukumu lao kupambana na adui ambaye ni umasikini!
Na hajui atakula nini mchana! HahaUkute mineno yote hiyo hera huna[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Si ndio balaa hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hajui atakula nini mchana! Haha
Huna hela kweli nini? [emoji2957][emoji2957][emoji2957]Usim attack mleta mada pinga mada!