Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

MKUU KWA WANDENGEREKO,WAMAKUA NA WANGINDO KWA ROHO NZURI MKUU HAPANA LABDA KWA FAMILIA ZAO TU JARIBU UONE!
 
Mademu wa 1.kisukuma 2.kichaga 3.kinyakyusa hawajui kujishughulisha muwapo kitandani,wengi wao hata hawajui kudai kondom mkiwa kwenye match,ndio maana wengi wao wanapata mimba kizembe. Harafu ukimtongoza huwa hawasemi wamekubali,ila ukiwa naye porini,kwenye migombo we mwangushe tu utajilia kiraini
 
ILAA HAO JAMAA NI WAKATILI KUPITA KIASI! HIVI KULE DINI HAZIPO?
 
KUNA MHAYA ASIYEPENDA SIFA MKUU! AU WEWE MHAYA NINI MKUU AU UNA UTANI NA MUKULU
MKUU MIMI UZULI NIMEISHI NA WAHAYA KWA KIFUPI WAHAYA WAMEWANYIKA KATIKA MAKUNDI AINA TANO KUNA......

1.WAZIBA

2.WAYOOZA

3.WANYANGIRO

4.WAYUNGA

5.WAGANGA KYAKA

6.WANYAMBOO

ILA UKWELI NI KWAMBA WAHAYA WAPO WAPENDA SIFA NA WAPO AMBAO SIO WAPENDA SIFAA.

ILA MIMI NINACHOJUA WAZIBA NI WAPENDA SIFA SANA HALAFU WENGI WEUSI SANA KULE BK KUNA WATU HUWAITA WAJALUO
WA BUKOBAAA......

LAKINI UKIENDA KWA WAYOZA, WANYAMBO NA WENGINE WAKO POA SANA ILA USIJE UKAKUTANA NA WAZIBAAA KWA SIFA ACHA TUU HALAFU NA ULE WEUSI WAO BANA ACHA
 
Nilitaraji kuona uchambuzi wa wanaume na wanawake WANGONI NA WAMATENGO sijaona au wao kila kitu wako saaafiiiiii
 
huu uchambuzi umebase kwenye historian zaid..mambo sikuhizi yamebadilika has a baada ya jamii nying kuelimika
 
KWA KUONGEZEA ZAIDI WATU WA KIGOMA NI WAONGEAJI SANA,WABISHI NA WAPENDA SIFA ZA KIJINGA BILA KUSAHAU NI WAGOMBANISHI .

YAANI UKITAKA KUMJUA MTU WA KIGOMA UTAMJUA TUU HASWA MBELE YA HALAIKI YA WATUUU.

YAANI. YEYE UNAMKUTA NDIO ANAPENDA KUONEKANA NI MZUNGUMZAJI KULIKO WOTE ANAPENDA KUONEKANA ANACHOONGEA YEYE NI POINT ILA WAKIONGEA WENGINE ANAWA CRUSH AU ANABISHA
 
UKo sawa kabisa mkuu,yaan Wanawake wa kichaga,kisukuma, ni wana huruma na wakarimu mpaka maungo yao,wao ukiwa na dudu kila kitu atakupa,na wengi ndo maana waishia kuwa singo mama.
 
Waziba pia wanapenda ukabila sana hata wakiwa wawili ofisi ya watu 20 mtawachukia maana watakuwa wanabonga kilugha tu wakifka 5 mnaweza hama ofic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…