Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sijaona mkiwazungumzia wangoni, wafipa, wabena, wanyasa, wakinga, wanyambo, wamakonde, n. K.... Salt tusaidie sifa za Haya makabila, ila ukioa mmsai wa kike Mmmmhh
 
Akachungulia toka mbinguni akaona wote wameoza. Wanawake wote si wema tena. Tazizo ni tamaa. asiyeolewa akiona aliyeolewa anaishi vizuri hata kama ni rafikiye na pia yy ameolewa haya ndiyo wafanyayo. 1.Atafunga safari hadi kwa sangoma. ateleza nia yake. akishafanikiwa tu mama wa ndani na mmewe ngumi na mizozo haziishi. 2. mama wa ndani akiona yamemshinda na yy huyooo kwa sangoma huyo baba cha moto anaanza kukiona. so wote sasa ni wabovu. kila mwanaume ajue atake asitake lazima atapita humo. Mbaya zaidi mawifi nao wanawaroga kaka zao ili wawapende. pia wapwa wanafanya hayo maadamu tu mjomba anaonekana kuwa na pesa. Watoto wa nje nao hawabakii nyuma.Matokeo yake watoto wa mme wanakuwa trush mbele ya baba zao. Mimi ni shahidi wa hili
 
Wapare ni wabahili pia wana roho mbaya, kuna siku nlikutana na mdada kwenye bus, akawa ananipa story ya shoga ake anamfanyia visa, anafanya mambo kwa binafsi n.k n.k nikamuuliza rafiki ako ni mpare? Akajibu ndio... Nilicheka, Wapare wana roho mbaya
Wapare mko wapi mjibu hizi tuhuma inaelekea mmefanya kitu mbaya sana huyu ndugu. Sharti mchinjie kondoo la sivyo cha moto mtakipata. Hahahhahah
 
Wadigo,na wataturu ni jasiri na hawapendi shali lkn ukuwa chokozaa...ni hatri
Mdigo ni mzigo mkuu uliza uambiwe hao ndio walioleta falsafa ya figa moja halieleki chungu lazma yawe matatu... Na ule wa dumu halitoshi ukienda kisiman shart ubebe na kidumu cha wakat wa emergency...
Hii yote yanalengo la kuhalalisha michepuko na hii huwa ni kwa wanawake zaid
 
Nitaendelea kuoa uwanawake Wa kiha tu, they are hard wttorker, life focused, ethical, tolerant, obedient, religious na zaidi ya yote wanaogopa kuachika hivyo unaweza kwenda kusoma bachelor mpaka PhD nje ya nchi na utamkuta anakusubiri
 
Mbona kuhusu ndumba hujasema au umesahau kigoma ndio mwisho wa reli chuo kikuu cha ushirikina sub saharan africa
 
Wapare mko wapi mjibu hizi tuhuma inaelekea mmefanya kitu mbaya sana huyu ndugu. Sharti mchinjie kondoo la sivyo cha moto mtakipata. Hahahhahah
Wengne wana conflict of interest huenda amelemaa akachkuliwa mume na mpare anakuja kutoa povu lake hapa
 
Wanyiramba hawana shida, ni wazuri tu ila wakiuza mazao wakashika hela ndo wanaota mapembe wanatafuta hadi kesi ili watumie pesa, ila ni wazuri kwakweli
NILITAKA KUSHAWISHIKA KUWA UNAJUA SIFA ZA MAKABILA ILA SIFA ULIZOYIA KWA HAWA NDO ZIMEFANYA NIKUYILIE MASHAKA KUWA YAWEZEKANA UNAJUA SIFA HIZI JUU JUU LABDA KWA MTU MLOKOROFISHANA UKA GENERALIZE.
WANYIRAMBA NIMEKAA NAO MIAKA 9 HAMNA WATU WAGUMU KUISHI NAO KAMA HAWA.
MOJA YA SIFA YAO NI UTAFUTAJI ILA HAWAPENDANI NA NDIO MAANA KILA ANAYEFANIKIWA LAZIMA AONDOKE MAENEO YA KWAO KWANI ANAWEZA KUONDOLEWA DUNIANI.
 
Kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu 😀
Mgogo akifanikiwa kufanya kazi akapata buku tano anarudi nyumbani kukaa hadi iishe hata ukimuitia kazi haji hadi hela iishe
Wewe umewajulia aisee.
 
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli kbs hujakosea mkuu
 
NILITAKA KUSHAWISHIKA KUWA UNAJUA SIFA ZA MAKABILA ILA SIFA ULIZOYIA KWA HAWA NDO ZIMEFANYA NIKUYILIE MASHAKA KUWA YAWEZEKANA UNAJUA SIFA HIZI JUU JUU LABDA KWA MTU MLOKOROFISHANA UKA GENERALIZE.
WANYIRAMBA NIMEKAA NAO MIAKA 9 HAMNA WATU WAGUMU KUISHI NAO KAMA HAWA.
MOJA YA SIFA YAO NI UTAFUTAJI ILA HAWAPENDANI NA NDIO MAANA KILA ANAYEFANIKIWA LAZIMA AONDOKE MAENEO YA KWAO KWANI ANAWEZA KUONDOLEWA DUNIANI.
Mi nimeishi nao hawana shida
 
Back
Top Bottom