To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
- Thread starter
- #81
Sasa mwanaume hafanyi hivo....mwanaume hafanyi hivyo mkuuSio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!