Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Sio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!
Sasa mwanaume hafanyi hivo....mwanaume hafanyi hivyo mkuu
 
😂😂😂kuna wanaume ni wanaume....mpaka kuwa nae unaogopa unahisi matendo yako ya nyuma kuwa nae unamkosea sana....Yaan unawaza kwanini hakuwa yeye before....Be a man mkuu
Single mothers mumeamua kutujia kwa njia ya Maridhiano??
 
Well said[emoji1490][emoji1490][emoji1490]unakuta mwanaume ana gubu la kike balaa mwanaume anaongea maneno yanamtoka kama kala mavi ptyuuuuu mwanaume unaongeaje hvo humezi mate….SOME MEN SHOULD MANUP THEMSELVES [emoji57]
Wadada wameamua kufunguka 2023 hawataki tena kujibanabana...

Juzi hapa dada kalalamika kweli jamaa hadisi, yaani kidudu kimesinyaa mzigo hapigi tena [emoji1787][emoji1787]

2023 inakuja kwa namna yake[emoji1787]
 
😂subirini Dawa iwakolee
 
Sio kwamba nidharau tunayowaonyesha ila hii hali ni baada ya nyinyi kutukataa wakati hamna mimba na kutuzungusha kweli, sasa mtu anaona bora akwachie mzigo wako au tuseme mshahara wa usumbufu kuanzia kutongozana hadi kwenye situation hiyo!
Sasa ni lazima ukimtaka mtu akukubali????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom