Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

😂nasemaje ndugu,humkuti mwanaume thabiti anaongea vibaya kwa MTU yeyote yule....mwanaume unamjua tu kwa kauli zake
Humu tuna wavulana aka Men wanna be’s basi wee kila mtu anavimba. Ukiona mtu anajihami hivyo ujue hana nguvu zote🤭😂
 
Humu tuna wavulana aka Men wanna be’s basi wee kila mtu anavimba. Ukiona mtu anajihami hivyo ujue hana nguvu zote🤭😂
😂mi nilichokigundua wanaume wengi nguvu za kiume zimehamia mdomoni...aisee wanaongea mpaka wanatokota 🙋
 
Msishindane na Me tafadhali [emoji1787]

Hili jeshi ni kubwa, lina ammunition za kutosha kuwaangamiza dk zero tu!

Nalianzisha..[emoji12]
😂😂😂 wapo watu wangu nawakumbuka vizuri tu nawasubiri, wewe ntakushika mkono nikupeleke kwa mangi unywe soda kabisa. Huna baya labda ulikope😄sasa wale Wanakujaga na matusi ya kizungu utasema biden mjomba wao.
 
Msishindane na Me tafadhali [emoji1787]

Hili jeshi ni kubwa, lina ammunition za kutosha kuwaangamiza dk zero tu!

Nalianzisha..[emoji12]
😳are you serious? Jeshi kubwa? U can't be serious! Mbali na uchache wa wanaume kupitia sensa lakini kwa idadi ile iliyotolewa nusu yake ndo wanaume wengine wanapumuliwa na wanaume🚶🚶
 
😂mi nilichokigundua wanaume wengi nguvu za kiume zimehamia mdomoni...aisee wanaongea mpaka wanatokota 🙋
🤣🤣🤣hao nawaita keyboard warriors wasikutishe. Mwanaume amzidi mwanamke kwa kuchambana aki ya nani namvesha kijora twende sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wapo watu wangu nawakumbuka vizuri tu nawasubiri, wewe ntakushika mkono nikupeleke kwa mangi unywe soda kabisa. Huna baya labda ulikope[emoji1]sasa wale Wanakujaga na matusi ya kizungu utasema biden mjomba wao.
Mbona ninenyoosha mkono mda tu unishike unipeleke kwa mangi mkuu. Tangu new Yr sijanywa hata novida[emoji1787]
 
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume...hivyo anakuwa hana sifa za;
a.Ushoga
b.Vijembe
c.Umbea
d.kususa
e.kusuta
f.kupoteza muda kwa visivyomhusu
g.umario
h.kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I.Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU,kakataa kuoa aliyemtia mimba
j.kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake,kama kuna pahala nimesahau muendelee

NB:BE A MAN!
At your best. To yeye kwenye ubora wake
 
😂😂😂 wapo watu wangu nawakumbuka vizuri tu nawasubiri, wewe ntakushika mkono nikupeleke kwa mangi unywe soda kabisa. Huna baya labda ulikope😄sasa wale Wanakujaga na matusi ya kizungu utasema biden mjomba wao.
Kuna watu wanajionaga wamevurugwa automatically....sasa itakuwa temporary
 
Back
Top Bottom