Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

Je sisi wamasai tunaambiwa sisi ni wanyama kama wanyama wengine na hatuna muda nao eti sisi ni nembo ya taifa
 
Najua mkuu Kuna utani wa makabila ila watani wetu tunawajua ni wagogo na wazaramo ila kila mtu kushobokea utani usiomhusu.
Kuna kila dalili za chuki na kudhalilishana kila jambo linatakiwa kuwa na kiasi mkuu.
Wachaga wezi
Wapare bahili
Wahaya sifa
Warangi maharagwe ya Mbeya
Wandengereko uvivu sawa na wagogo😀
No.. Mkuu hakuna aliye salaam.. Labda yale makabila minority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…