Hata mwanzoni alipojiita sijui Mpanzu akaongeza na majina mengine mawili watu Id yake wakaichukua chap.Huyu ndo zake kubadilisha ID halafu ya zamani ikiibiwa anapiga kelele nyingi, sio mara ya kwanza.
Na kama sasa huyo OKW BOBAN SUNZU mpya anaandika mashudu hatari ye kabakia analalamika anachafuliwa wakati Id alishaiacha. 🤣🤣Kwanini huwa anabadili badili kila mara? maana sio mara ya kwanza mara ikitokea diwani wake ameshinda huko kwenye uchaguzi anabadili ID diwani wangu akitokea mjanja akachukua ila ya mwanzo kelele bara zima la afrika.
Wasukuma ni kabila kubwa sana bongoland lakini ndio kabila lenye wajinga wengi sana pia. 90 -95% ya wasukuma ni wajinga. Msukuma anaweza akawa ng'ombe 200 lakini hajawahi chinja kula ng'ombe hadi ng'ombe mmoja akifa hapo watakula kibudu.WASUKUMA ni kabila kubwa sana na limezungukwa na makabila mengi ambayo ni watani zetu wa jadi japo vijana wengi wa siku hizi hawajui hayo mambo ya utani wa jadi wao wanatembea na upepo unakovumia tu.
Hahaahah et mpanzu safari hii huyu member wetu shujaa OKW BOBAN SUNZU asikubali, mkuu usiachie hiyo id.Hata mwanzoni alipojiita sijui Mpanzu akaongeza na majina mengine mawili watu Id yake wakaichukua chap.
Akalalamika Mod wakamrudishia.
Ni vile hajui sijui anakurupuka id ya OKW BOBAN SUNZU ndo nzuri kwake kuliko hizi zingine.
Hahaahhaaha halafu mimi nilijua ni yeye ndo mwandishi nilikuwa sijashtukia kabisa kama ameibiwa ID.Na kama sasa huyo OKW BOBAN SUNZU mpya anaandika mashudu hatari ye kabakia analalamika anachafuliwa wakati Id alishaiacha. 🤣🤣
Mtani wangu anahitaji kubadilika kwenye hili nikimaanisha akishafanya maamuzi ya kubadili Id basi awe tayari kwa lolote.
Wasukuma wenyewe ni watu wanaopenda matani sana, yani ile matani mpaka mara nyingine inakuwa kero.Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?
Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.
Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
Na wakuryawasukuma, wanyakyusa,wachaga,wahehe na wakinga,... hawawezi kuukimbia utani kutoka watanzania wote,.......
🙌🙌Omu kiboko sikujua km ndo ana mambo hivi😂😂😂Kumbe wewe wa Simiyu? 😹😹😹
Tayana-wog unaitwa huku ukale michembe
😂😂😂🙌Omu umenishinda tabiaHahahaa. Shemuuuu, mi kwetu Ngonga ziwani, Ulembwikeee nkamu gwangu. Sema mke wa shemeji yake shangaxi wa ma mdogo wa rafiki yake mjomba ni Msimiyu wa Bar8adi, ndio hivyo, ma watoto Tayana-wog si wa kukandamizaga 😂😂
Wewe ndiyo hujui, Ni kweli wachaga wapo sehemu nyingi Sana na wanafanya biashara kuliko kabila lolote Tanzania, ila hii haizidi wasukuma wapo mjini na vijijini wakishughulisha na kazi ngumu ngumu za maguvu na za kawaida.Acha uongo ni kabila la wachaga tu ndio unaweza kuwakuta sehemu yeyote hapa Tanzania
Wasukuma populationwise ni wengi ila wengi wao hawajitambui.
Sasa majitu yanakubali kusombwa kama mang'ombe ili kwenda kumsikiliza mwanasiasa huyo si mpumbavu wa mwisho kabisa
Hahahaaa. Mkuu naona unachochea kuni. 🤣🤣Hahaahah et mpanzu safari hii huyu member wetu shujaa OKW BOBAN SUNZU asikubali, mkuu usiachie hiyo id.
🤣🤣🤣Hahaahhaaha halafu mimi nilijua ni yeye ndo mwandishi nilikuwa sijashtukia kabisa kama ameibiwa ID.
R.I.P JEMADARI JPMWasukuma ni washamba sana mojawapo ni yule mshamba mkuu ambaye ni marehemu.
Hivi Magufuli si alikuwa Msukuma?
Huyo jamaa yake Shadeeya naona kichwa chake hakiko sawa, hata kushauriana naye inakuwa shidaHahaahah et mpanzu safari hii huyu member wetu shujaa OKW BOBAN SUNZU asikubali, mkuu usiachie hiyo id.
Sio mimi mkuuHahaahhaaha halafu mimi nilijua ni yeye ndo mwandishi nilikuwa sijashtukia kabisa kama ameibiwa ID.
Wasukuma hawajasambaa kama Wachagga. Wapo baadhi ya maeneo kwa wingi hasa kwenye maeneo ya kufugia ila Wachagga wamesambaa zaidi ndani na nje ya nchiWewe ndiyo hujui, Ni kweli wachaga wapo sehemu nyingi Sana na wanafanya biashara kuliko kabila lolote Tanzania, ila hii haizidi wasukuma wapo mjini na vijijini wakishughulisha na kazi ngumu ngumu za maguvu na za kawaida.
Wapo wengi kuliko wachaga.
Ndo ukome. 🤣🤣🤣Sio mimi mkuu