Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekeleaπΉπΏ
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?
Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.
Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
Unasemaaaa?Ila nikiri TU kwamba,
Wanawake wa kisukuma ni wife material plus.
Vijana kabla hujaoa pitia usukumani kwanza.
Very loyal, very enterprising, hawana dharau, wako na wewe kwenye shida na Raha.
Hawalalamiki kikubwa zaidi sio Malaya.
Hahahaha sina namna mkuu.Hahahaaa. Mkuu naona unachochea kuni. π€£π€£
Hahah JF kuna mambo sana kwa kweli.π€£π€£π€£
Jamaa yupi mkuu.Huyo jamaa yake Shadeeya naona kichwa chake hakiko sawa, hata kushauriana naye inakuwa shida
Unadhalilika sana kwa kweli mkuu wangu.Sio mimi mkuu
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekeleaπΉπΏ
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?
Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.
Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
UmenisikiaUnasemaaaa?
ChenekoWakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekeleaπΉπΏ
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma wamewakosea nini?
Siku hizi kila mfano mbovu mitandaoni wanapakaziwa wasukuma mnaudhi na huo upuuzi sisi ni kabila bora,na hatuhitaji dharau.
Kutweza utu wa wasukuma sio sawa. Watanzania tafadhali tuache kudharauliana kipuuzi.
Kila kundi la watu linastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Heshimu tamaduni za watu na maisha yao.
Wasukuma wote tusikubali huu upumbavu,tuukemee mahali popote na tuoneshe umoja na mshikamano.
Mdomo ushavutwa kama ndalaKweli kabisa, wengine watakuja kusema hawa ni Wasukuma si vizuri.View attachment 3375395
Kazi unayo πΉπΉππOmu kiboko sikujua km ndo ana mambo hiviπππ
π hao ni wanyakiKweli kabisa, wengine watakuja kusema hawa ni Wasukuma si vizuri.View attachment 3375395
Hakuna chuki yoyote mkuu, kwa tafiti yangu isiyo rasmi wasukuma ndio kabila linalopendwa zaidi. Binafsi nawakubali sana wasukuma. Marafiki zangu haswa ni wasukuma.Najua mkuu Kuna utani wa makabila ila watani wetu tunawajua ni wagogo na wazaramo ila kila mtu kushobokea utani usiomhusu.
Kuna kila dalili za chuki na kudhalilishana kila jambo linatakiwa kuwa na kiasi mkuu.