Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

SIjui kwa nini nimecheka Mwasibu. 🤣🤣

Tutakupambania Id yako itarudi Mtani.
Walishatoa mwongozo. Ukiachia ID ni haki ya mtu mwingine kuichukua. Hata mpambane vipi hiyo ID haipati tena.

Mtu unaacha ID yako ya tangu 2011 huko unakwenda kujiita Kipenzi Changu halafu uanze kusumbua watu? Hakuna kitu kama hicho!
 
Mimi ni mgogo,kubatizwa uombaomba,UVIVU wala ile ya dada zetu kwamba wana huruma haijawahi kunikosesha amani almradi najua mimi ni mtu wa aina gani,RELAX mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…