Sifurahishwi na Wachina kujenga sanamu ya baba wa Taifa

sanamu lina unyeti gani sasa
 
Kwa maneno yako tayari umeshajidharau na kujikataa..jomba uko vizuri..wewe utakuwa teenager hujui hizi habari
Yaani wewe kujikubali Ni kuogopa sanamu ya Nyerere?

Bure kabisa

Wachina wamewajengea Bunge lenu lile wamefunga mifumo yote ya ulinzi na IT huoni ni tatizo ila sanamu ya Nyerere?

Alafu unajikuta sensitiiiiiiiiiiiive mwenyewe.

Sasa wataiba nini kwenye kutengeneza sanamu? Watu wengine mna shida Sana

Eti teenager. Kwahiyo we unaona ukubwa ni kuwa mshamba?
 
sanamu lina unyeti gani sasa
Hahaha jomba nenda kafanye Mambo mengine kama kusoma kasome fanya homework...Hivi huoni mpaka Nchi inajitolea kujenga na kugharamia..hau feel kitu hapo
 
Ule Upuuzi Uliowekwa Dodoma Wenyewe Wanaita Nyerere Square
Wahandisi Wameshindwa Kujenga Sanamu Kubwa Lile La US, Ama Brazil
 
Hahaha jomba nenda kafanye Mambo mengine kama kusoma kasome fanya homework...Hivi huoni mpaka Nchi inajitolea kujenga na kugharamia..hau feel kitu hapo
ni feel nini sasa, Tanzania China friendship tu
 
Jomba hiv unajua Bunge lilivyojengwa..si uulize kwanza kabla ya kusema...
 
Aaah jomba miaka hiyo alikuwa Mao..na ndie aliyeweka misingi imara ya Taifa ambalo unaliona sasa
Deng ndiye aliyeibadili China,ndiye aliyewaambia wachina wasome waache taboos, Deng ndiye baba wa uchumi wa China leo
 
Jomba hiv unajua Bunge lilivyojengwa..si uulize kwanza kabla ya kusema...
Punguza unoko wa kishamba jamaa

Serekali yako inavyopiga magoti kukopa hadi hela za dawa mahospitalini huoni kama huko ndo kujikataa ila kujengewa sanamu
 
Punguza unoko wa kishamba jamaa

Serekali yako inavyopiga magoti kukopa hadi hela za dawa mahospitalini huoni kama huko ndo kujikataa ila kujengewa sanamu
Nadhan hakuna shida na kukopa...kwa sababu fedha unayokopa Ni kama yako tu.kwa sababu mwisho wa siku utatafuta hela uilipe..kwa lazima...au unadhan. Ukikopa unapewa bure hudaiwi
 
Punguza unoko wa kishamba jamaa

Serekali yako inavyopiga magoti kukopa hadi hela za dawa mahospitalini huoni kama huko ndo kujikataa ila kujengewa sanamu
Jomba wewe hujawah kopa
 
Huna ujualo wewe. Unapiga kampeni tu hapa za kipumbavu kama kawaida.
 
Bro nimekuelewa sana na andiko lako...yes maamuzi ameyatamka leo Waziri wetu wa Utalii..lakini bado kwangu lunaloniuma hivi kweli Wachina wanamwona baba wa Taifa wa muhimu zaidi ya Watanzania ambao alitutumikia...katika uhai wake wote...is it...??ni lazima ifike mahali tuwe na ownership ya vitu vya muhimu kama hivyo ambavyo vinaweka kumbukumbuku ya vizazi vijavyo...
 
Acha tu watengeneze wachina. Tukianza kuwapa wabongo watengenezea kinyago cha mpapure halafu tutaanza kulaumiana tu hapa.
 
Tumeisha kuwa Taifa la ombaomba na kutegemea misaada katika kila kitu na tunajivunia ujinga huo na kuona tunapendwa sana ndio maana tunasaidiwa.
 
Acha tu watengeneze wachina. Tukianza kuwapa wabongo watengenezea kinyago cha mpapure halafu tutaanza kulaumiana tu hapa.
Tunaweza hata ku hire Mkandarasi mtaalam lakini tunamsimamia anavyotengeneza lakini pia tunatumia fedha yetu
 
Acha tu watengeneze wachina. Tukianza kuwapa wabongo watengenezea kinyago cha mpapure halafu tutaanza kulaumiana tu hapa.
Tunaweza hata ku hire Mkandarasi mtaalam lakini tunamsimamia anavyotengeneza lakini pia tunatumia fedha zetu...msaada wa nini kutengeneza sanamu, is the cost in bilions?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…