The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Watanzania kama wanaweza kutengeza sanamu siku zote walikuwa wapi!!? Hii kazi ina utalaamu wake siyo kama kuchonga vinyago. Siyo kazi ndogo kama unavyofikiri. Mara ya mwisho tuliona sanamu tuliyoletewa na Kigwangalla.... Local made.JF
Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanam ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa...Najiuliza kwa sauti kubwa sana
1. Hivi nchi yetu haiwez kugharamia hili..how much?
2. Ile ni Sanam nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu..kwanini tuwape wachina waweke nembo ya baba wa Taifa kwetu..why...
3. Ni lazima vitu vingine tuweke values zetu na tutembee vifua mbele kwamba nisisi tumetengeneza na hata wao wanaweza kufanya moja ya sehem ya utalii..ya kutembelea..je? Wanalitengeneza wao itakuwa na thamani gani kwao kuja kuiangalia...si wanaijua in/out.
4. Ni lazima tuwe watu wa kutengeneza values zetu..na hata hao wachina na wengine watatuheshim siku zote..
Nawaza kwa sauti kubwa sana.. sifurahishwiii wajameni