Jonas john 360
Member
- Feb 21, 2023
- 7
- 3
🤣🤣🤣Take it easy mkuu. Sanamu ni sanamu tu, hayana unyeti wa kuzidi.
Relax, acha watengeneze labda litakuwa zuri. Unakumbuka kitu alitengeneza Kigwangala? Ule ndio uwezo wetu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Take it easy mkuu. Sanamu ni sanamu tu, hayana unyeti wa kuzidi.
Relax, acha watengeneze labda litakuwa zuri. Unakumbuka kitu alitengeneza Kigwangala? Ule ndio uwezo wetu sasa
Take it easy mkuu. Sanamu ni sanamu tu, hayana unyeti wa kuzidi.
Relax, acha watengeneze labda litakuwa zuri. Unakumbuka kitu alitengeneza Kigwangala? Ule ndio uwezo wetu sasa
Sanamu ya Nyerere aliyoitengeneza Kigwangwala ikazinduliwa na Jiwe uliiona ? ungeweza kulia .JF
Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa.
Najiuliza kwa sauti kubwa sana
1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much?
2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu, kwanini tuwape wachina waweke nembo ya baba wa Taifa kwetu, why?
3. Ni lazima vitu vingine tuweke values zetu na tutembee vifua mbele kwamba ni sisi tumetengeneza na hata wao wanaweza kufanya moja ya sehemu ya utalii ya kutembelea. Je, Wanalitengeneza wao itakuwa na thamani gani kwao kuja kuiangalia si wanaijua in/out.
4. Ni lazima tuwe watu wa kutengeneza values zetu..na hata hao wachina na wengine watatuheshimu siku zote..
Nawaza kwa sauti kubwa sana.. sifurahishwi wajameni
Basi ngoja nikukumbushe jambo linalofanana na hili, pengine hapo ndipo utakapoanza kujuwa tabia (siyo ya waTanzania), bali viongozi wetu.Bro nimekuelewa sana na andiko lako...yes maamuzi ameyatamka leo Waziri wetu wa Utalii..lakini bado kwangu lunaloniuma hivi kweli Wachina wanamwona baba wa Taifa wa muhimu zaidi ya Watanzania ambao alitutumikia...katika uhai wake wote...is it...??ni lazima ifike mahali tuwe na ownership ya vitu vya muhimu kama hivyo ambavyo vinaweka kumbukumbuku ya vizazi vijavyo...
Na wala hujui historia ya mitumba ni ipi, ila unajisikia shupavu sana kueneza ujinga.W
kwa ulivyoyaorodhesha wewe kweli ulipitia haya. Nakumbuka mpaka mzee Mwinyi aliwaambia wauza mitumba wapeleke na kusini kwani wengi hawana nguo za kuvaa.a
Waziri mkuu alienda,akapokelewa na akina mama walio uchi wakiwa wamebandika pesa za noti kwenye paji la uso
Historia ya mtumba itasaidia nini kwenye historia ya kufeli kwa Tanganyika!?..Baki na ujinga wakoNa wala hujui historia ya mitumba ni ipi, ila unajisikia shupavu sana kueneza ujinga.
Kwa hiyo unaona mitumba ilikuwa ni kufeli kwa Tanzania, Kenya je, na kwingineko?Historia ya mtumba itasaidia nini kwenye historia ya kufeli kwa Tanganyika!?..Baki na ujinga wako
Kwani Kenya ni taifa lililofanikiwa!!?..hivi unafikiri sawasawa wewe!?Kwa hiyo unaona mitumba ilikuwa ni kufeli kwa Tanzania, Kenya je, na kwingineko?
Bado huoni kwamba kichwani mwako kuna takataka tupu?
Basi nipe mfano wa taifa lililofanikiwa ambako mitumba haipo?Kwani Kenya ni taifa lililofanikiwa!!?..hivi unafikiri sawasawa wewe!?
Unazungumzia kuhusu nini wewe!!?..umekunywa k vant bila kula!?..nani kasema mtumba ni dalili ya kufanikiwa)kutofanikiwa nchi kiuchumi!?..ulikuta najadili mitumba Mimi au ulidandia tu gari kwa mbele!?..have life bro na upunguani wakoBasi nipe mfano wa taifa lililofanikiwa ambako mitumba haipo?
Najuwa kwa akili yako mbovu huna mfano unaoweza kuutoa hapa.
Kwani swala la mitumba limetokea wapi kama siyo mpumbavu kama wewe uliyelileta hapa. Au tayari umesahau mara hii?Unazungumzia kuhusu nini wewe!!?..umekunywa k vant bila kula!?..nani kasema mtumba ni dalili ya kufanikiwa)kutofanikiwa nchi kiuchumi!?..ulikuta najadili mitumba Mimi au ulidandia tu gari kwa mbele!?..have life bro na upunguani wako
Pamoja na maneno hayo jomba, tuanze na hili...hatuwezi kuwaachia wajenge..tuanzie hapa...nooooway..Basi ngoja nikukumbushe jambo linalofanana na hili, pengine hapo ndipo utakapoanza kujuwa tabia (siyo ya waTanzania), bali viongozi wetu.
Kule Addis Ababa, kwenye shughuli za African Union (OAU zamani), ililazimu Robert Mugabe ndiye awe mstari wa mbele kutambua juhudi za Mwalimu Nyerere kuwa mmoja wa waanzilishi wanaotambuliwa na umoja huo na kupewa heshima hiyo.
Hakuna hata kiongozi mmoja wa Tanzania aliyesimama na kulitamka jambo hilo.
Hawa viongozi wote wa CCM wanafaidi matunda ya kazi za Mwalimu, hasa huko ndani ya chama chao, lakini hawako tayari kusimama na kutetea aliyoyasimamia Mwalimu
Hivi unaelewa kwa nini juhudi kubwa zote alizofanya Mwalimu kukwama? Si ni hawa hawa waliokuwa wakiharibu kila mradi unaoanzishwa kwa manufaa ya nchi na wananchi wake?
Sasa utategemea vipi watu hawa hawa ndio wawe wa kuheshimu juhudi hizo?
Ukiwasikiliza wakitumia maneno mengi kujiweka karibu na Mwalimu, usidhani wanalolote la ziada kuliko kutafuta fursa zao wenyewe kwa kutumia jina lake kwa wananchi.
Wachina wanajuwa wanachofanya kwa dhati ya moyo wao, siyo kwa kumfurahisha yeyote. Acha wajenge.
Huyu Babu siwezi kumtukuza alikuwa Mshirikina sana na aliingiza nchi kwenye maagano ya kipepo na rafikize akina Shehe Yahya Hussein na Shehe Forojo Ganze (Master)Una uhakika gani mkuu kama hiyo sanamu haitabeba siri nyingine nyuma ya pazia?
Kigwa boy katika ubora sijui yupowapi saii
Labda wanajua wakimpa mu Tz ataongeza bei mara mbiliJF
Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa.
Najiuliza kwa sauti kubwa sana
1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much?
2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu, kwanini tuwape wachina waweke nembo ya baba wa Taifa kwetu, why?
3. Ni lazima vitu vingine tuweke values zetu na tutembee vifua mbele kwamba ni sisi tumetengeneza na hata wao wanaweza kufanya moja ya sehemu ya utalii ya kutembelea. Je, Wanalitengeneza wao itakuwa na thamani gani kwao kuja kuiangalia si wanaijua in/out.
4. Ni lazima tuwe watu wa kutengeneza values zetu..na hata hao wachina na wengine watatuheshimu siku zote..
Nawaza kwa sauti kubwa sana.. sifurahishwi wajameni
Ila kweli, maana wenzetu wako mbele sana Kiteknolojia. Unaweza ukafikiri ni sanamu tu wamekutengenezea kumbe ni "antena"Una uhakika gani mkuu kama hiyo sanamu haitabeba siri nyingine nyuma ya pazia?
Uliza mpunga uliotumika sasa !