Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye sina uhakika kamili kama atakuja kubadilika hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.

Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa rafiki wa kike.

Nimemuoa akiwa na miaka 19, cha kuzingatia zaidi nimemzidi miaka, tupo rika tofauti, kwa makadirio yangu nadhani binti wa miaka 18 hadi 23 ana experience ndogo kwenye mapenzi kuliko mwanamke mwenye umri mkubwa, pia itakuwa binti mdogo ni rahisi kumfinyanga kwa jinsi ulivyo kuliko mwanamke mkubwa

Nimeoa kwenye jamii ambayo ndugu wa karibu na wa mbali hawaingilii sana maisha ya mwanamke akiolewa, sijajua kama imetoka kwenye ukoo au kabila lake, Katokea Iringa ila baada ya mkoa kugawanywa itakuwa ni Njombe, Wazazi wake tunawatembelea na kuwajulia hali lakini wao hapa kwetu mama yake amewahi kuja mara chache, Ndugu zake wakija huwa ni kwa shughuli zao, alipojifungua na alipowahi kuumwa ndugu walikuja mumpa msaada alipopona wakakaa kidogo wakarudi makwao .

Haendekezi mambo ya dini, Siku ya kwenda ibada ni moja shughuli imeishia hapo ni mpaka wiki lijalo, kwa mawazo yangu huwa naona labda wanawake wakianza kushinda sana sehemu za ibada, dorminance ya mwanaume wake inahamia kwa wachungaji.

Elimu ya kawaida, si jambo la kufurahia lakini naweza kuweka iwe moja ya factors, kaishia form 4 ana division 3 yake.

Nilimjaribu kabla hatujaingia kwenye ndoa, vijana wengi siku hizi wanavuta jiko ndani bila kujua uimara wake, sio mtaalam sana wa kupima vigezo lakini binafsi nilimpima kwa kunifulia nguo, kunipikia, usafi wa chumba enzi hizo nimepanga vyumba viwili, n.k. so tulipoingia kwenye ndoa nilishajipatia uhakika haya mambo anaweza,

Meza jeuri yako pale unapoona umekosea au umemkosea mke wako, usihamishe lawama ama kutafuta visingizio, ni ngumu kwa mwanaume kusema samahani lakini waweza konyesha kwa vitendo na yeye atajua,
Na kwanini iwe ngumu kusema samahani!?. Tuanzie hapo kwanza, maana huwaga sielewi hizi theory zenu!!!.
 
sijaamaanisha inatunza ndoa

ila nilimaanisha
amewahi still kuna vitu vizuri vya kutimiza at such a young age
Vitu vizuri kama vipi? hivi unafikiri mazingira yako fair kwa wote kwamba wanaweza zifikia hizo digrii? pengine angeishia kubeba mimba na kutelekezwa, yamkini kwake na kwao anaona ni heri alivyoolewa
 
Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye sina uhakika kamili kama atakuja kubadilika hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.

Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa rafiki wa kike.

Nimemuoa akiwa na miaka 19, cha kuzingatia zaidi nimemzidi miaka, tupo rika tofauti, kwa makadirio yangu nadhani binti wa miaka 18 hadi 23 ana experience ndogo kwenye mapenzi kuliko mwanamke mwenye umri mkubwa, pia itakuwa binti mdogo ni rahisi kumfinyanga kwa jinsi ulivyo kuliko mwanamke mkubwa

Nimeoa kwenye jamii ambayo ndugu wa karibu na wa mbali hawaingilii sana maisha ya mwanamke akiolewa, sijajua kama imetoka kwenye ukoo au kabila lake, Katokea Iringa ila baada ya mkoa kugawanywa itakuwa ni Njombe, Wazazi wake tunawatembelea na kuwajulia hali lakini wao hapa kwetu mama yake amewahi kuja mara chache, Ndugu zake wakija huwa ni kwa shughuli zao, alipojifungua na alipowahi kuumwa ndugu walikuja mumpa msaada alipopona wakakaa kidogo wakarudi makwao .

Haendekezi mambo ya dini, Siku ya kwenda ibada ni moja shughuli imeishia hapo ni mpaka wiki lijalo, kwa mawazo yangu huwa naona labda wanawake wakianza kushinda sana sehemu za ibada, dorminance ya mwanaume wake inahamia kwa wachungaji.

Ana elimu ya kawaida, si jambo la kufurahia lakini naweza kuweka iwe moja ya factors, kaishia form 4 ana division 3 yake, Pengine ni kwasababu elimu sio tatizo kwa wanawake wasomi ila maisha wanayopitia chuoni kwa ule uhuru wa ghafla wakiwa vyuoni mbali na makwao, tuliosoma vyuoni tunajua mwalimu akimtaka binti ni ngumu kukataliwa sababu ya hofu ya kufelishwa, kuna ndoa za siri vyuoni baina ya wanafunzi, wazee wa totoz wanapenda sana kutarget mabinti wa chuo, n,k. hata baada ya kuhitimu hupenda maisha ya uhuru, haki sawa iliyopitiliza, n.k.

Nilimjaribu kabla hatujaingia kwenye ndoa, vijana wengi siku hizi wanavuta jiko ndani bila kujua uimara wake, sio mtaalam sana wa kupima vigezo lakini binafsi nilimpima kwa kunifulia nguo, kunipikia, usafi wa chumba enzi hizo nimepanga vyumba viwili, n.k. so tulipoingia kwenye ndoa nilishajipatia uhakika haya mambo anaweza,

Meza jeuri yako pale unapoona umekosea au umemkosea mke wako, usihamishe lawama ama kutafuta visingizio, ni ngumu kwa mwanaume kusema samahani lakini waweza konyesha kwa vitendo na yeye atajua,
Mbona kama unababaika, mara division 3 mara ndugu zake wanakuja kumuguza mara konyokonyo nyingi nenda direct kwenye point ,mara njombe mara iringa ina mana hujui hata anatokea wapi, naona kama umeongea nonsense sorry lakn , good for nothing😌
 
ukwel ndio huo, wanawake na ma X ni ngumu kuwatenganisha kwa nyakati hizi, akiwa amezaa naye ndio kabisa unatakiwa kukaa mail 60, kwani umesahau issue ya aliyekuwa Katibu wa kanisa la Masanja? sasa yule yalijukikana kwa sababu ya umaarufu lakini huku underground ndio yanayofanyika daily
ila x ukiamua muachane mnaachana tu tatizo tunapenda kuwa entertain
 
Mkuu kuwa makin hawa viumbe huwa HAWAELEWEKI na ukianza kuwaelewa unakufa mapema chakufanya ISHI NAE KWA AKILI,,,
Well said, mwanamk ni mfano wa k wahawaeleweki , Akilala iko juu akiinama iko nyuma akisimama iko mbele sas acha jamaa ajichanganye atumie hisia badala ya akil,🤣🙈
 
Back
Top Bottom