Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajakataa hili ndio maaa amesema haijuia kesho yake itakuwaje ila kwa wakati uliopo anafurahia ndoa yakeAcha kuongea hivyo mtumish
Ndoa ya biligate na Joseph guadiola zimedumu miaka zaid ya 30
Muombe MUNGU sana acha kutukana ambao wake zao huenda ibada mara kwa mara
Acha kabisa
Hii certicate pengine ingepatikana huenda ingemkosesha hta hii heshima ya ndoa so acha afurahie ndoa kwa sasa wewe ukiwa na certifacate na degree inatoshakila la heri
Anaolewa hana hata degree i feel sorry for her basi hata certificate?
Wenye d mbili tunajua unaposema vitu vizuri vya kutimiza at young age kwa mdada ni k v starehe, kwenda club, kunywa pombe, kudanga, kubadilisha dushe tofauti ili akiingia ndoani awe amemaliza starehe zote, aisee Palinasijaamaanisha inatunza ndoa
ila nilimaanisha
amewahi still kuna vitu vizuri vya kutimiza at such a young age
Na ww soma hio ya mwisho,,soma paragraph ya kwanza
Ha ha ha ha ha ha ha a a a a noma sanaaaaaWell said, mwanamk ni mfano wa k wahawaeleweki , Akilala iko juu akiinama iko nyuma akisimama iko mbele sas acha jamaa ajichanganye atumie hisia badala ya akil,🤣🙈
Sasa division Three kwanini asingeenda form five au chuo, msomesheWala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.
Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa rafiki wa kike.
Nimemuoa akiwa na miaka 19, cha kuzingatia zaidi nimemzidi miaka, tupo rika tofauti, kwa makadirio yangu nadhani binti wa miaka 18 hadi 23 ana experience ndogo kwenye mapenzi kuliko mwanamke mwenye umri mkubwa, pia itakuwa binti mdogo ni rahisi kumfinyanga kwa jinsi ulivyo kuliko mwanamke mkubwa
Nimeoa kwenye jamii ambayo ndugu wa karibu na wa mbali hawaingilii sana maisha ya mwanamke akiolewa, sijajua kama imetoka kwenye ukoo au kabila lake, Katokea Iringa ila baada ya mkoa kugawanywa itakuwa ni Njombe, Wazazi wake tunawatembelea na kuwajulia hali lakini wao hapa kwetu mama yake amewahi kuja mara chache, Ndugu zake wakija huwa ni kwa shughuli zao, alipojifungua na alipowahi kuumwa ndugu walikuja mumpa msaada alipopona wakakaa kidogo wakarudi makwao .
Haendekezi mambo ya dini, Siku ya kwenda ibada ni moja shughuli imeishia hapo ni mpaka wiki lijalo, kwa mawazo yangu huwa naona labda wanawake wakianza kushinda sana sehemu za ibada, dorminance ya mwanaume wake inahamia kwa wachungaji.
Ana elimu ya kawaida, si jambo la kufurahia lakini naweza kuweka iwe moja ya factors, kaishia form 4 ana division 3 yake, Nimekuwa nikisikia baadhi ya wanaume waliooa wanawake wasomi wakilalamika lakini kwa utafiti mdogo niliofanya kuna namna vyuo huchangia, mwanafunzi wa sekondari akiingia chuo kuna ule uhuru wa ghafla tena akiwa mbali na kwao bila usimamizi, tuliosoma vyuoni tumejionea live jinsi mabinti wanavyobadilika kwa kasi ya radi ndani ya muda mfupi, hii inawathiri hata wakimaliza chuo, kuna mtindo wa maisha, marafiki waliowazunguka na vitu walivyojifunza vinavyoweza kuleta changamoto ndani ya ndoa.
Nilimjaribu kabla hatujaingia kwenye ndoa, vijana wengi siku hizi wanavuta jiko ndani bila kujua uimara wake, sio mtaalam sana wa kupima vigezo lakini binafsi nilimpima kwa kunifulia nguo, kunipikia, usafi wa chumba enzi hizo nimepanga vyumba viwili, n.k. so tulipoingia kwenye ndoa nilishajipatia uhakika haya mambo anaweza,
Meza jeuri yako pale unapoona umekosea au umemkosea mke wako, usihamishe lawama ama kutafuta visingizio, ni ngumu kwa mwanaume kusema samahani lakini waweza konyesha kwa vitendo na yeye atajua,
Ukiingia na mawazo haya kwenye ndoa ushafeli tayari, digrii itakuvimbisha na kujiona bora kuliko kumbe hata haina msaada wowote ulekila la heri
Anaolewa hana hata degree i feel sorry for her basi hata certificate?
Wewe na degree yako ila bado unaombaomba hela😂😂😂😂kila la heri
Anaolewa hana hata degree i feel sorry for her basi hata certificate?
Homework ni ya watoto sio kazi yako kuwapa majibu. Wafundishe watoto namna ya kusaka majibu sio kuwapa majibu.Sawa ila ndiyo homework za watoto ataomba majirani wamsaidie, joke tena😀
hawa ombaomba huwa hawajui matumizi ya hizo degree na ndio maana wengi wanatafunwa na kutemwa kama BIG G!!!Ukiingia na mawazo haya kwenye ndoa ushafeli tayari, digrii itakuvimbisha na kujiona bora kuliko kumbe hata haina msaada wowote ule
Degree haina msaada wowote kwenye ndoa zaidi ya kuleta kiburi kwa mwanamke.Naomba ukibarikiwa mtoto wa kike wala usimpe elimu aishie level hizo hizo kama formula yako isemavyo ili mume atakae muoa asije kupata usumbufu na msomi
Imagine upo na mwanamke wa hivi ndani mwenye ego ya namna hiyo mtawezana kweli? Nauliza tu au ndo red flag!!!!! 🤔hawa ombaomba huwa hawajui matumizi ya hizo degree na ndio maana wengi wanatafunwa na kutemwa kama BIG G!!!
Hapo utakuwa umelamba garasa hamna kitu hapo.Wanawake wa hivyo wataolewa na DILDO🤗Hao ni wasimbe(MAROBOTI) kaa nao mbali.Imagine upo na mwanamke wa hivi ndani mwenye ego ya namna hiyo mtawezana kweli? Nauliza tu au ndo red flag!!!!! 🤔
🤐Hapo utakuwa umelamba garasa hamna kitu hapo.Wanawake wa hivyo wataolewa na DILDO🤗Hao ni wasimbe(MAROBOTI) kaa nao mbali.