Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

Sawa ila ndiyo homework za watoto ataomba majirani wamsaidie, joke tena😀
Cha msingi watoto wanapata upendo , Basic need na uwepo na attetion ya mama. Ishu ya home work ataimudu form 4 mbona anajua kujumlisha, kutoa na kuzidisha.

Wa degree ndo hawakai nyumban kutwa ni kazini mpaka wa staafu ndo utapat uwepo wao. JOKE tena😁
 
Unazifahamu homework za siku hizi za watoto wewe, form 4 hutoboi kuzifanya, pia kuna wa degree wanaowahi kutoka kazini vizuri tu, joke ya mwisho😀
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
 
Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.

Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa rafiki wa kike.

Nimemuoa akiwa na miaka 19, cha kuzingatia zaidi nimemzidi miaka, tupo rika tofauti, kwa makadirio yangu nadhani binti wa miaka 18 hadi 23 ana experience ndogo kwenye mapenzi kuliko mwanamke mwenye umri mkubwa, pia itakuwa binti mdogo ni rahisi kumfinyanga kwa jinsi ulivyo kuliko mwanamke mkubwa

Nimeoa kwenye jamii ambayo ndugu wa karibu na wa mbali hawaingilii sana maisha ya mwanamke akiolewa, sijajua kama imetoka kwenye ukoo au kabila lake, Katokea Iringa ila baada ya mkoa kugawanywa itakuwa ni Njombe, Wazazi wake tunawatembelea na kuwajulia hali lakini wao hapa kwetu mama yake amewahi kuja mara chache, Ndugu zake wakija huwa ni kwa shughuli zao, alipojifungua na alipowahi kuumwa ndugu walikuja mumpa msaada alipopona wakakaa kidogo wakarudi makwao .

Haendekezi mambo ya dini, Siku ya kwenda ibada ni moja shughuli imeishia hapo ni mpaka wiki lijalo, kwa mawazo yangu huwa naona labda wanawake wakianza kushinda sana sehemu za ibada, dorminance ya mwanaume wake inahamia kwa wachungaji.

Ana elimu ya kawaida, si jambo la kufurahia lakini naweza kuweka iwe moja ya factors, kaishia form 4 ana division 3 yake, Nimekuwa nikisikia baadhi ya wanaume waliooa wanawake wasomi wakilalamika lakini kwa utafiti mdogo niliofanya kuna namna vyuo huchangia, mwanafunzi wa sekondari akiingia chuo kuna ule uhuru wa ghafla tena akiwa mbali na kwao bila usimamizi, tuliosoma vyuoni tumejionea live jinsi mabinti wanavyobadilika kwa kasi ya radi ndani ya muda mfupi, hii inawathiri hata wakimaliza chuo, kuna mtindo wa maisha, marafiki waliowazunguka na vitu walivyojifunza vinavyoweza kuleta changamoto ndani ya ndoa.

Nilimjaribu kabla hatujaingia kwenye ndoa, vijana wengi siku hizi wanavuta jiko ndani bila kujua uimara wake, sio mtaalam sana wa kupima vigezo lakini binafsi nilimpima kwa kunifulia nguo, kunipikia, usafi wa chumba enzi hizo nimepanga vyumba viwili, n.k. so tulipoingia kwenye ndoa nilishajipatia uhakika haya mambo anaweza,

Meza jeuri yako pale unapoona umekosea au umemkosea mke wako, usihamishe lawama ama kutafuta visingizio, ni ngumu kwa mwanaume kusema samahani lakini waweza konyesha kwa vitendo na yeye atajua,
Hii sio theory mkuu

Ni teaching methodology kabisa

Anyway mimi siwezi kuoa.
 
Unazifahamu homework za siku hizi za watoto wewe, form 4 hutoboi kuzifanya, pia kuna wa degree wanaowahi kutoka kazini vizuri tu, joke ya mwisho😀
Sisi hatuna pesa ya kumpeleka mtoto bus la njano, tutazimudu homework za kata. Wa degree wanajikuta sana huwezi kuwa control na sio submissive kwenye relationship .. Joke ya mwisho😄
 
hapana ila at 18 amewahi labda tuseme ameshindwa shule

basi hata angepata ujuzi wowote she is too young to marry doesnt she have dreams?
Wa dgree hamwez ku sacrifice dream zenu for the sake of family.
Usijali ataenda Veta kuongeza skills. Wa degree tuwaachie kazi za ofisini
 
Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.

Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa rafiki wa kike.

Nimemuoa akiwa na miaka 19, cha kuzingatia zaidi nimemzidi miaka, tupo rika tofauti, kwa makadirio yangu nadhani binti wa miaka 18 hadi 23 ana experience ndogo kwenye mapenzi kuliko mwanamke mwenye umri mkubwa, pia itakuwa binti mdogo ni rahisi kumfinyanga kwa jinsi ulivyo kuliko mwanamke mkubwa

Nimeoa kwenye jamii ambayo ndugu wa karibu na wa mbali hawaingilii sana maisha ya mwanamke akiolewa, sijajua kama imetoka kwenye ukoo au kabila lake, Katokea Iringa ila baada ya mkoa kugawanywa itakuwa ni Njombe, Wazazi wake tunawatembelea na kuwajulia hali lakini wao hapa kwetu mama yake amewahi kuja mara chache, Ndugu zake wakija huwa ni kwa shughuli zao, alipojifungua na alipowahi kuumwa ndugu walikuja mumpa msaada alipopona wakakaa kidogo wakarudi makwao .

Haendekezi mambo ya dini, Siku ya kwenda ibada ni moja shughuli imeishia hapo ni mpaka wiki lijalo, kwa mawazo yangu huwa naona labda wanawake wakianza kushinda sana sehemu za ibada, dorminance ya mwanaume wake inahamia kwa wachungaji.

Ana elimu ya kawaida, si jambo la kufurahia lakini naweza kuweka iwe moja ya factors, kaishia form 4 ana division 3 yake, Nimekuwa nikisikia baadhi ya wanaume waliooa wanawake wasomi wakilalamika lakini kwa utafiti mdogo niliofanya kuna namna vyuo huchangia, mwanafunzi wa sekondari akiingia chuo kuna ule uhuru wa ghafla tena akiwa mbali na kwao bila usimamizi, tuliosoma vyuoni tumejionea live jinsi mabinti wanavyobadilika kwa kasi ya radi ndani ya muda mfupi, hii inawathiri hata wakimaliza chuo, kuna mtindo wa maisha, marafiki waliowazunguka na vitu walivyojifunza vinavyoweza kuleta changamoto ndani ya ndoa.

Nilimjaribu kabla hatujaingia kwenye ndoa, vijana wengi siku hizi wanavuta jiko ndani bila kujua uimara wake, sio mtaalam sana wa kupima vigezo lakini binafsi nilimpima kwa kunifulia nguo, kunipikia, usafi wa chumba enzi hizo nimepanga vyumba viwili, n.k. so tulipoingia kwenye ndoa nilishajipatia uhakika haya mambo anaweza,

Meza jeuri yako pale unapoona umekosea au umemkosea mke wako, usihamishe lawama ama kutafuta visingizio, ni ngumu kwa mwanaume kusema samahani lakini waweza konyesha kwa vitendo na yeye atajua,
Bikira uliikuta?
 
Si umenogewa na mapenzi ya kitoto cha early 2000's basi sawa... Ila tambua tu kuoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema... Mwanaume rijali haoi bali anazalisha tu ili kutimiza agano la kuijaza dunia... Wewe endekeza mapenz na ndoa utakuja kisengeh
 
Back
Top Bottom