atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Msiwasomeshe watoto wenu wa kike na dada zenu wasisome ili kuwe na hao aina ya wanawake muwatakao.Degree haina msaada wowote kwenye ndoa zaidi ya kuleta kiburi kwa mwanamke.
Na bado mwanamke hata akiwa anafanya kazi bado atakuwa ombaomba,sasa ulisoma na kufanya kazi ili iweje mbona mnajimix kwa yas.