Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

Na kwanini iwe ngumu kusema samahani!?. Tuanzie hapo kwanza, maana huwaga sielewi hizi theory zenu!!!.
 
sijaamaanisha inatunza ndoa

ila nilimaanisha
amewahi still kuna vitu vizuri vya kutimiza at such a young age
Vitu vizuri kama vipi? hivi unafikiri mazingira yako fair kwa wote kwamba wanaweza zifikia hizo digrii? pengine angeishia kubeba mimba na kutelekezwa, yamkini kwake na kwao anaona ni heri alivyoolewa
 
Mbona kama unababaika, mara division 3 mara ndugu zake wanakuja kumuguza mara konyokonyo nyingi nenda direct kwenye point ,mara njombe mara iringa ina mana hujui hata anatokea wapi, naona kama umeongea nonsense sorry lakn , good for nothing😌
 
ila x ukiamua muachane mnaachana tu tatizo tunapenda kuwa entertain
 
Mkuu kuwa makin hawa viumbe huwa HAWAELEWEKI na ukianza kuwaelewa unakufa mapema chakufanya ISHI NAE KWA AKILI,,,
Well said, mwanamk ni mfano wa k wahawaeleweki , Akilala iko juu akiinama iko nyuma akisimama iko mbele sas acha jamaa ajichanganye atumie hisia badala ya akil,🤣🙈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…