Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

Sawa ila ndiyo homework za watoto ataomba majirani wamsaidie, joke tena๐Ÿ˜€
Cha msingi watoto wanapata upendo , Basic need na uwepo na attetion ya mama. Ishu ya home work ataimudu form 4 mbona anajua kujumlisha, kutoa na kuzidisha.

Wa degree ndo hawakai nyumban kutwa ni kazini mpaka wa staafu ndo utapat uwepo wao. JOKE tena๐Ÿ˜
 
Unazifahamu homework za siku hizi za watoto wewe, form 4 hutoboi kuzifanya, pia kuna wa degree wanaowahi kutoka kazini vizuri tu, joke ya mwisho๐Ÿ˜€
 
๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ
 
Hii sio theory mkuu

Ni teaching methodology kabisa

Anyway mimi siwezi kuoa.
 
Unazifahamu homework za siku hizi za watoto wewe, form 4 hutoboi kuzifanya, pia kuna wa degree wanaowahi kutoka kazini vizuri tu, joke ya mwisho๐Ÿ˜€
Sisi hatuna pesa ya kumpeleka mtoto bus la njano, tutazimudu homework za kata. Wa degree wanajikuta sana huwezi kuwa control na sio submissive kwenye relationship .. Joke ya mwisho๐Ÿ˜„
 
hapana ila at 18 amewahi labda tuseme ameshindwa shule

basi hata angepata ujuzi wowote she is too young to marry doesnt she have dreams?
Wa dgree hamwez ku sacrifice dream zenu for the sake of family.
Usijali ataenda Veta kuongeza skills. Wa degree tuwaachie kazi za ofisini
 
Bikira uliikuta?
 
Si umenogewa na mapenzi ya kitoto cha early 2000's basi sawa... Ila tambua tu kuoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema... Mwanaume rijali haoi bali anazalisha tu ili kutimiza agano la kuijaza dunia... Wewe endekeza mapenz na ndoa utakuja kisengeh
 
Unazifahamu homework za siku hizi za watoto wewe, form 4 hutoboi kuzifanya, pia kuna wa degree wanaowahi kutoka kazini vizuri tu, joke ya mwisho๐Ÿ˜€
๐ด๐‘โ„Ž๐‘Ž ๐‘ง๐‘Ž๐‘™๐‘Ž๐‘ข
by me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ