Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

Acha kuongea hivyo mtumish

Ndoa ya biligate na Joseph guadiola zimedumu miaka zaid ya 30

Muombe MUNGU sana acha kutukana ambao wake zao huenda ibada mara kwa mara

Acha kabisa
Hajakataa hili ndio maaa amesema haijuia kesho yake itakuwaje ila kwa wakati uliopo anafurahia ndoa yake
 
kila la heri

Anaolewa hana hata degree i feel sorry for her basi hata certificate?
Hii certicate pengine ingepatikana huenda ingemkosesha hta hii heshima ya ndoa so acha afurahie ndoa kwa sasa wewe ukiwa na certifacate na degree inatosha
 
sijaamaanisha inatunza ndoa

ila nilimaanisha
amewahi still kuna vitu vizuri vya kutimiza at such a young age
Wenye d mbili tunajua unaposema vitu vizuri vya kutimiza at young age kwa mdada ni k v starehe, kwenda club, kunywa pombe, kudanga, kubadilisha dushe tofauti ili akiingia ndoani awe amemaliza starehe zote, aisee Palina
 
Well said, mwanamk ni mfano wa k wahawaeleweki , Akilala iko juu akiinama iko nyuma akisimama iko mbele sas acha jamaa ajichanganye atumie hisia badala ya akil,🤣🙈
Ha ha ha ha ha ha ha a a a a noma sanaaaaa
 
Factor kubwa hapo ni elimu , mm pia nimeoa form four nainjoy maisha ya ndoa mpka raha huku hakuna 50/50 wala kukaidi maagizo
 
Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe...
 
Sasa division Three kwanini asingeenda form five au chuo, msomeshe
 
Naomba ukibarikiwa mtoto wa kike wala usimpe elimu aishie level hizo hizo kama formula yako isemavyo ili mume atakae muoa asije kupata usumbufu na msomi
 
kila la heri

Anaolewa hana hata degree i feel sorry for her basi hata certificate?
Ukiingia na mawazo haya kwenye ndoa ushafeli tayari, digrii itakuvimbisha na kujiona bora kuliko kumbe hata haina msaada wowote ule
 
hayanaga formula mkuu we penda watoto wako wekeza kwao,hao ndio ndugu zako wa damu.
 
kila la heri

Anaolewa hana hata degree i feel sorry for her basi hata certificate?
Wewe na degree yako ila bado unaombaomba hela😂😂😂😂

Wasimbe mnashida sana.Degree ni kitu ya kujibrag kweli???
 
Sawa ila ndiyo homework za watoto ataomba majirani wamsaidie, joke tena😀
Homework ni ya watoto sio kazi yako kuwapa majibu. Wafundishe watoto namna ya kusaka majibu sio kuwapa majibu.

You intelligent fools hamuoni elimu zenu jinsi haziwasaidii kuwa watofauti.
 
Ukiingia na mawazo haya kwenye ndoa ushafeli tayari, digrii itakuvimbisha na kujiona bora kuliko kumbe hata haina msaada wowote ule
hawa ombaomba huwa hawajui matumizi ya hizo degree na ndio maana wengi wanatafunwa na kutemwa kama BIG G!!!
 
Naomba ukibarikiwa mtoto wa kike wala usimpe elimu aishie level hizo hizo kama formula yako isemavyo ili mume atakae muoa asije kupata usumbufu na msomi
Degree haina msaada wowote kwenye ndoa zaidi ya kuleta kiburi kwa mwanamke.

Na bado mwanamke hata akiwa anafanya kazi bado atakuwa ombaomba,sasa ulisoma na kufanya kazi ili iweje mbona mnajimix kwa yas.
 
hawa ombaomba huwa hawajui matumizi ya hizo degree na ndio maana wengi wanatafunwa na kutemwa kama BIG G!!!
Imagine upo na mwanamke wa hivi ndani mwenye ego ya namna hiyo mtawezana kweli? Nauliza tu au ndo red flag!!!!! 🤔
 
Imagine upo na mwanamke wa hivi ndani mwenye ego ya namna hiyo mtawezana kweli? Nauliza tu au ndo red flag!!!!! 🤔
Hapo utakuwa umelamba garasa hamna kitu hapo.Wanawake wa hivyo wataolewa na DILDO🤗Hao ni wasimbe(MAROBOTI) kaa nao mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…