atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,786 Reaction score 3,522 Mar 7, 2025 #81 komasavaa said: Degree haina msaada wowote kwenye ndoa zaidi ya kuleta kiburi kwa mwanamke. Na bado mwanamke hata akiwa anafanya kazi bado atakuwa ombaomba,sasa ulisoma na kufanya kazi ili iweje mbona mnajimix kwa yas. Click to expand... Msiwasomeshe watoto wenu wa kike na dada zenu wasisome ili kuwe na hao aina ya wanawake muwatakao.
komasavaa said: Degree haina msaada wowote kwenye ndoa zaidi ya kuleta kiburi kwa mwanamke. Na bado mwanamke hata akiwa anafanya kazi bado atakuwa ombaomba,sasa ulisoma na kufanya kazi ili iweje mbona mnajimix kwa yas. Click to expand... Msiwasomeshe watoto wenu wa kike na dada zenu wasisome ili kuwe na hao aina ya wanawake muwatakao.