Habari wanajf
Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo wanaofanya lakini Wana kitu hiki kimoja na ni Kuwa na system inayoruhusu watu wote bila kujali elimu zao kupata nafasi ya kuajiliwa serikalini unajua wapo ambao ni four iv lakini wameajiliwa serikali na wengine Wana maisha mazuri kuliko hata wenye elimu kubwa kitu ambacho Chadema hawawezi kufanya.
Nimeangalia sera za Chadema hazinishawishi niwaamini kuwa wanafaa, Chadema Wana individual leaders kama Tundu Lissu ni mwanasiasa mzuri ila anakosa attributes zakiongozi huwa ana hekima, ashauriki alafu ana kauli zisizojenga ambazo ukiwa Raisi zinaweza zikaharibu taswira ya nchi.Ni Bora abaki kwenye eneo la kuwa mwanasiasa mzuri rather than kuwa Raisi wa nchi.Nimeangalia sera za Chadema mfano wanaamini kwenye serikali za majimbo, Wanaamini kwenye serikali tatu ikizitazama hizi sera unaona kabisa zinaenda kugawa nchi kwenye itikadi mbalimbali. Wanaamini kwenye utegemezi wa nchi za nje Chadema inafadhiliwa na taasisi na mashirika ya nje kifedha kwenye uendeshwaji wao wa chama.
NB: Mimi napenda Chadema iwe kwenye nafasi hii ya kuwatingisha chama tawala ili CCM wasibeteke lakini siwaoni kama chama sahihi chakupewa madaraka labla kitokee chama kingine cha upinzani chenye vision chanya na very organized kwenye system ya uongozi