Wewe tena lazima upinge maoni yangu kwasababu mlengo wako unajulikanaYaani unaona kabisa ccm imezidiwa ushawishi na cdm, lakini matamanio yako ni ccm kuendelea kuongoza kwa kujiaminisha kuwa cdm haitaweza. Kwa kukusaidia tu, hakuna chama chochote kitashindwa kuongoza nchi hii, labda kusiwe na kodi zinakusanywa.
Jiandae kisaikolojia maana zama za ccm zimekwisha. Nchi itaongozwa na wengine na utazoea. Kama ulifanikiwa kwa wizi kutokana na kuwa na mizizi na ccm, basi itabidi uishi kwa uadilifu.
Mimi siwakubali CCM liko wazi lakini nitajie chama kingine unaona kinauwezo na kipo tofauti na CCM karibia kila kitu ni kipi? Na nitajie kwakutoa sababu Tano tuHata Mwalimu alipata shida sana wakati anapambania Uhuru, ila tofauti ya Mwalimu na Lissu ni kwamba wakoloni walikuwa na utu, kama kumteka wangefanya hivyo fasta na ki baskeli chake toka Pugu Secondary mapori matupu kuja mjini kwa kina Mzee Dossa kufanya mikakati ya Uhuru.
Tofauti na hawa mafedhuri CCM, yale yanakuteka, yatakutesa, yatakufira na kukurecord kisha yatakutishia kwamba ukiongea tu tunarusha videp zote hewani
Tanganyika inabakwa kwa zamu na haya ma fedhiuri, bila watangamyika kuungana hatutaacha urithi wa hii nchi.
Mfano sasa hivi yashaanza kujipanga lwa 2030.
Ww mawazo yako inabidi yaungwe mkono maana mlengo wako haufahamiki.Wewe tena lazima upinge maoni yangu kwasababu mlengo wako unajulikana
Sijasoma yote. Ila nakujibu tu kijumla waambie serikali waiachie CHADEMA ifanye siasa za haki kama inavyofanya ccm. Iwaachie viongozi wake iliyowaweka ndani bia sababu. Mwambie msajili awe fair asiibughudhi CHADEMA kama anavyofanya sasa bila sababu. Waambie waachie uchaguzi uwe huru na haki hata ½ tu. Hapo ndipo utaikubali na kuilewa CHADEMA. Unafikiri serikali yenu inahangaika kuidhibiti CHADEMA kila kona bure?. Usichokijua CHADEMA ndio wananchi woteHabari wanajf
Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo wanaofanya lakini Wana kitu hiki kimoja na ni Kuwa na system inayoruhusu watu wote bila kujali elimu zao kupata nafasi ya kuajiliwa serikalini unajua wapo ambao ni four iv lakini wameajiliwa serikali na wengine Wana maisha mazuri kuliko hata wenye elimu kubwa kitu ambacho Chadema hawawezi kufanya.
Nimeangalia sera za Chadema hazinishawishi niwaamini kuwa wanafaa, Chadema Wana individual leaders kama Tundu Lissu ni mwanasiasa mzuri ila anakosa attributes zakiongozi huwa ana hekima, ashauriki alafu ana kauli zisizojenga ambazo ukiwa Raisi zinaweza zikaharibu taswira ya nchi.Ni Bora abaki kwenye eneo la kuwa mwanasiasa mzuri rather than kuwa Raisi wa nchi.Nimeangalia sera za Chadema mfano wanaamini kwenye serikali za majimbo, Wanaamini kwenye serikali tatu ikizitazama hizi sera unaona kabisa zinaenda kugawa nchi kwenye itikadi mbalimbali. Wanaamini kwenye utegemezi wa nchi za nje Chadema inafadhiliwa na taasisi na mashirika ya nje kifedha kwenye uendeshwaji wao wa chama.
NB: Mimi napenda Chadema iwe kwenye nafasi hii ya kuwatingisha chama tawala ili CCM wasibeteke lakini siwaoni kama chama sahihi chakupewa madaraka labla kitokee chama kingine cha upinzani chenye vision chanya na very organized kwenye system ya uongozi
Sawa lakini wasipewe kwa huruma au kwa kuangalia madhaifu ya CCM bali wao wenyewe waoneshe kuwa wanaweza kupitia matendo ya viongozi wao, namna wanavyoendesha vyama vyao, ilani zao kupitia sera na vision vya namna watavyoendesha nchi kuwa ni Bora.Mazur na mabaya ya ccm tayar yameshaonekana ivyo twataman tuone mabaya na mazur ya vyama vingine wenzet uko walipo endelea wameona tama na chungu za kila chama na hata uongoz wa kijeshi
Nakuuliza tu swali nitajie sababu kuu 5 kwanini unaamini Chadema wanastahili kuongoza nchiWw mawazo yako inabidi yaungwe mkono maana mlengo wako haufahamiki.
Hata Chadema wangekuwa ni chama tawala na wapinzani wao ni CCM lazima Mambo kama hayo yangekuwepo na hii hiko kwenye siasa za kiafrika hakuna chama kinamuonea huruma chama pinzani. Kwahiyo Mimi Kama mwananchi nachoangalia maslahi yangu sio ya wanasiasa na ndio maana sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.Nilichokitoa hapo ni maoni yangu kwa kile ninachofikiri na sio kila mawazo tunatakiwa tufanane woteSijasoma yote. Ila nakujibu tu kijumla waambie serikali waiachie CHADEMA ifanye siasa za haki kama inavyofanya ccm. Iwaachie viongozi wake iliyowaweka ndani bia sababu. Mwambie msajili awe fair asiibughudhi CHADEMA kama anavyofanya sasa bila sababu. Waambie waachie uchaguzi uwe huru na haki hata ½ tu. Hapo ndipo utaikubali na kuilewa CHADEMA. Unafikiri serikali yenu inahangaika kuidhibiti CHADEMA kila kona bure?. Usichokijua CHADEMA ndio wananchi wote
Tungekuwa tuna vyama pinzani vizuri Leo CCM wasingekuwa madarakani lakini ndio hivyo we imagine kiongozi wa chama cha upinzani anadai kabisa viongozi wao wananunuliwa na CCM anaongea haya bila aibuSIO CCM WALA CHADEMA HAKUNA KITU HAPO...CCM HII INAYOWAAMBIA WANANCHI WAKE IMEWARAHISISHIA HUDUMA YA MATIBABU KWA KUWALETEA HUDUMA YA AFYA KWA WOTE(NHIF), AMBAYO MPAKA SASA HUDUMA HYO NI HEWA..NASEMA UONGO NDUGU ZANGU.. ILE AHADI YA NHIF KWA KAYA YA WATU SITA MPAKA SASA NI HEWA.. WANANCHI WANAZID KUUMIA KWA MATIBABU KUWA NA GHARAMA KUBWA..KWAKWELI TZ INAWENYEWE.
Haya mawazo ndio yanayofanya Africa ibaki hivi ilivyo. Ksbb ya mawazo yaliyosimama sehemu moja. Kitu usichokijua hata ukatae vipi kuleta mageuzi bado siasa ndizo inayoendesha maisha yako ya kila siku.Hata Chadema wangekuwa ni chama tawala na wapinzani wao ni CCM lazima Mambo kama hayo yangekuwepo na hii hiko kwenye siasa za kiafrika hakuna chama kinamuonea huruma chama pinzani. Kwahiyo Mimi Kama mwananchi nachoangalia maslahi yangu sio ya wanasiasa na ndio maana sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.Nilichokitoa hapo ni maoni yangu kwa kile ninachofikiri na sio kila mawazo tunatakiwa tufanane wote
yaan hakuna upinzani wa kweli ni vivuli tu.Tungekuwa tuna vyama pinzani vizuri Leo CCM wasingekuwa madarakani lakini ndio hivyo we imagine kiongozi wa chama cha upinzani anadai kabisa viongozi wao wananunuliwa na CCM anaongea haya bila aibu
Sasa kama wananunuliwa kweli? Na ccm ndio iliyoko madaraka. Imejineemesha kwa mali zetu. Imewafanya watu wawe masikini wa kipato na elimu pia ni rahisi sana kuwanunua kssb ya hali duni iliyowasababishiaTungekuwa tuna vyama pinzani vizuri Leo CCM wasingekuwa madarakani lakini ndio hivyo we imagine kiongozi wa chama cha upinzani anadai kabisa viongozi wao wananunuliwa na CCM anaongea haya bila aibu
Nitajie sababu tano kuu kwanini ccm iendelee kukaa madarakani.Nakuuliza tu swali nitajie sababu kuu 5 kwanini unaamini Chadema wanastahili kuongoza nchi
Habari wanajf
Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo wanaofanya lakini Wana kitu hiki kimoja na ni Kuwa na system inayoruhusu watu wote bila kujali elimu zao kupata nafasi ya kuajiliwa serikalini unajua wapo ambao ni four iv lakini wameajiliwa serikali na wengine Wana maisha mazuri kuliko hata wenye elimu kubwa kitu ambacho Chadema hawawezi kufanya.
Nimeangalia sera za Chadema hazinishawishi niwaamini kuwa wanafaa, Chadema Wana individual leaders kama Tundu Lissu ni mwanasiasa mzuri ila anakosa attributes zakiongozi huwa ana hekima, ashauriki alafu ana kauli zisizojenga ambazo ukiwa Raisi zinaweza zikaharibu taswira ya nchi.Ni Bora abaki kwenye eneo la kuwa mwanasiasa mzuri rather than kuwa Raisi wa nchi.Nimeangalia sera za Chadema mfano wanaamini kwenye serikali za majimbo, Wanaamini kwenye serikali tatu ikizitazama hizi sera unaona kabisa zinaenda kugawa nchi kwenye itikadi mbalimbali. Wanaamini kwenye utegemezi wa nchi za nje Chadema inafadhiliwa na taasisi na mashirika ya nje kifedha kwenye uendeshwaji wao wa chama.
NB: Mimi napenda Chadema iwe kwenye nafasi hii ya kuwatingisha chama tawala ili CCM wasibeteke lakini siwaoni kama chama sahihi chakupewa madaraka labla kitokee chama kingine cha upinzani chenye vision chanya na very organized kwenye system ya uongozi
Hivi nani kakudanganya kwamba ili uwe mfuatiliaji wa siasa lazima uwe mpenzi au mwanachama wa chamaHaya mawazo ndio yanayofanya Africa ibaki hivi ilivyo. Ksbb ya mawazo yaliyosimama sehemu moja. Kitu usichokijua hata ukatae vipi kuleta mageuzi bado siasa ndizo inayoendesha maisha yako ya kila siku.
UMASIKINI ULIONAO IWE WA KIMAWAZO,KIELIMU AU KIUCHUMI NI KSBB YA SIASA MBOVU SANA ZINAZOIENDESHA NCHI. JAPO WAPO WAMEBAKI WACHACHE WENYE MAWAZO KAMA YAKO WANAJUA KUHANGAIKA NA UMASIKINI WAO NI KSBB YAO. SIASA MBOVU ZA NCHI HUSIKA KAMA HIZI ZA HILI LICHAMA INAHUSIKA KUWAFUKALISHA WANANCHI WAKE.
Kwa sasa wanatamani asitokee hata mtu mmoja kuwashtua wananchi kuhusiana na upigaji unaendelea ndani ya hii serikali. Na bahati mbaya hakuna wa kuwazuia. CHADEMA ambayo ingesaidia kupigia kelele huo wizi mkubwa unaoendelea ndio hiyo imepigwa pin,na wananchi wa kawaida kama wewe unafurahia bila kujali kwamba huo ufisadi unakwamisha hata maendeleo yako.
Juzi juzi kuna kiongozi alijaribu kukemea ufisadi unaoendelea kupitia mitandao yake. Unajua kilichotokea? Ile post yake ya kukemea imefutwa chap baada ya muda mfupi. Unajua maana yake? Wamebariki ufisadi unaoendelea.
Basi wewe una matatizo. Hujui unachotaka. Haya mambo siyo ya imani. Kwani CCM hufurahii mambo yake kwa sababu ya imani au kwa anachofanya.Habari wanajf
Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo wanaofanya lakini Wana kitu hiki kimoja na ni Kuwa na system inayoruhusu watu wote bila kujali elimu zao kupata nafasi ya kuajiliwa serikalini unajua wapo ambao ni four iv lakini wameajiliwa serikali na wengine Wana maisha mazuri kuliko hata wenye elimu kubwa kitu ambacho Chadema hawawezi kufanya.
Nimeangalia sera za Chadema hazinishawishi niwaamini kuwa wanafaa, Chadema Wana individual leaders kama Tundu Lissu ni mwanasiasa mzuri ila anakosa attributes zakiongozi huwa ana hekima, ashauriki alafu ana kauli zisizojenga ambazo ukiwa Raisi zinaweza zikaharibu taswira ya nchi.Ni Bora abaki kwenye eneo la kuwa mwanasiasa mzuri rather than kuwa Raisi wa nchi.Nimeangalia sera za Chadema mfano wanaamini kwenye serikali za majimbo, Wanaamini kwenye serikali tatu ikizitazama hizi sera unaona kabisa zinaenda kugawa nchi kwenye itikadi mbalimbali. Wanaamini kwenye utegemezi wa nchi za nje Chadema inafadhiliwa na taasisi na mashirika ya nje kifedha kwenye uendeshwaji wao wa chama.
NB: Mimi napenda Chadema iwe kwenye nafasi hii ya kuwatingisha chama tawala ili CCM wasibeteke lakini siwaoni kama chama sahihi chakupewa madaraka labla kitokee chama kingine cha upinzani chenye vision chanya na very organized kwenye system ya uongozi
Kama viongozi wao wananunuliwa ina maana Wana watu wengi wenye njaa na wanaopenda rushwa hii si moja ya sababu yakutuonesha kuwa hawastahili kupewa nchiSasa kama wananunuliwa kweli? Na ccm ndio iliyoko madaraka. Imejineemesha kwa mali zetu. Imewafanya watu wawe masikini wa kipato na elimu pia ni rahisi sana kuwanunua kssb ya hali duni iliyowasababishia