Siikubali CCM kwa namna wanavyoendesha nchi ila Sina Imani na mpinzani wake CHADEMA

Nitajie sababu tano kuu kwanini ccm iendelee kukaa madarakani.
Hii ndio shida ya wafuasi wengi wa Chadema ebu soma vizuri mada niliyoleta swali lako lipo ndani ya mada ni vile umekuja ukiwa unamajibu yako kichwani
 
Ilipofikia CCM haiwezi kutulrtea kiongozi yeyote mzuri akiwa ndani ya CCM.
Sababu ipo mikononi mwa watu wachache wahuni, wabinafsi, wabadhirifu n.k.
Anaye jiona kiongozi mzuri basi ajitoe CCM akkaunde chama au ajiunge vyama vingine isipokuwa chama cha ubwabwa na ACT.
Chama unachoona ni sahihi cha upinzani ni kipi?
 
Hao CCM nani aliwaweka madarakani 2025?

Vv
Asilimia kubwa tukakubaliana kuwa CCM ni chama kibovu na hasa chini ya hii serikali lakini swali langu ni moja chama kipi kingine ambacho kina sifa nzuri kwa maana ya sera, vision na uadilifu n.k ambacho kinafaa kupewa nchi ni kipi?
 
Yani uwakubali wale makatili na wajinga wanaopiga meza, kisha usiwakubali Chadema. Kwa lile bunge kuna ubora kweli? 😹😹😹

Hiyo Hata kichaa atakushangaa.
 
Kichwa chako kigumu kuelewa. Makichwa kama hayo ndio matokeo ya siasa za ccm ili iwe rahisi kukutawala. Kuna mahala nimekuambia ili uwe mfuatiliaji wa siasa lazima uwe mwanachama? Wapi nimekuambia hivyo?.
Mimi mwenyewe sina chama chochote cha siasa. Mimi nimekuambia hivi hata usiwe mwanachama au tu kama ulivyosema juu hutaki siasa. Ndio nikakujibu siasa huwezi kuikwepa ksbb kuishi kwako ni siasa. Pale ulipo ni ksbb ya siasa zilizopo. Nimekuambia huwezi kuikwepa siasa ndio maisha yako ya kila siku.
Hata uwe mpagani uwe mkristo uwe muislam huwezi kuikwepa siasa ndio maisha yako ya kila siku.
Ukija kwa nini iwe CHADEMA ni ksbb sera zao ndio mahitaji wa wananchi walio wengi kwa sasa. Sera zao ni uhalisia wanapita kwenye mstari ulioonyioka sawa na wananchi.

Mfano sera za CHADEMA wanapinga utekaji ambao pia sisi wananchi kwa ujumla wetu tunaupinga kwa nguvu,lakini serikali yako ya ccm haijawahi kulipinga hilo na ikafanya utekeleza wa hilo kwa vitendo ksbb ndio iko madarakani.
Hivi nani kakudanganya kwamba ili uwe mfuatiliaji wa siasa lazima uwe mpenzi au mwanachama wa chama

.
Kuna ufisadi,kuna ubadhirifu n.k,n.k
 
Asilimia kubwa tukakubaliana kuwa CCM ni chama kibovu na hasa chini ya hii serikali lakini swali langu ni moja chama kipi kingine ambacho kina sifa nzuri kwa maana ya sera, vision na uadilifu n.k ambacho kinafaa kupewa nchi ni kipi?

Nakuuliza tena, nani aliiweka CCM madarakani 2025?
Nakuuliza swali la pili [kufuatia maelezo uliyoweka badala ya kujibu swali nililokuuliza awali]; hiyo 'asilimia kubwa' mnayokubaliana ilipatikana kwa takwimu au uchaguzi gani?

Vv
 
Kama viongozi wao wananunuliwa ina maana Wana watu wengi wenye njaa na wanaopenda rushwa hii si moja ya sababu yakutuonesha kuwa hawastahili kupewa nchi
Nilichokiona kwako unawaza kwa wepesi sana,unawaza kwa juu juu tu. Sio kwa Jambo hili tu. Nafikiri akili yako ndio iko hivyo inaelea elea. Huwezi kujipa akili ikaenda mbele kuwaza. Unaishia mahala juu juu tu unaona hapo hapo umemaliza. Kwa hiyo unahitaji elimu sana kutoka hapo ulipo. Kwa hiyo hata kukuelimisha hapa ni kama kubishana na jiwe
 
Kichwa chako kigumu kuelewa. Makichwa kama hayo ndio matokeo ya siasa za ccm ili iwe rahisi kukutawala. Kuna mahala nimekuambia ili uwe mfuatiliaji wa siasa lazima uwe mwanachama? Wapi nimekuambia hivyo?.
Mimi mwenyewe sina chama chochote cha siasa. Mimi nimekuambia hivi hata usiwe mwanachama au tu kama ulivyosema juu hutaki siasa. Ndio nikakujibu siasa huwezi kuikwepa ksbb kuishi kwako ni siasa. Pale ulipo ni ksbb ya siasa zilizopo. Nimekuambia huwezi kuikwepa siasa ndio maisha yako ya kila siku.
Hata uwe mpagani uwe mkristo uwe muislam huwezi kuikwepa siasa ndio maisha yako ya kila siku.
Ukija kwa nini iwe CHADEMA ni ksbb sera zao ndio mahitaji wa wananchi walio wengi kwa sasa. Sera zao ni uhalisia wanapita kwenye mstari ulioonyioka sawa na wananchi.

Mfano sera za CHADEMA wanapinga utekaji ambao pia sisi wananchi kwa ujumla wetu tunaupinga kwa nguvu,lakini serikali yako ya ccm haijawahi kulipinga hilo na ikafanya utekeleza wa hilo kwa vitendo ksbb ndio iko madarakani.

.
Kuna ufisadi,kuna ubadhirifu n.k,n.k
Kwahiyo mkuu usipokuwa ni mpenzi wa chama chochote inamaana kwamba ndio huwezi kufuatilia siasa
 
Nakuuliza tena, nani aliiweka CCM madarakani 2025?
Nakuuliza swali la pili [kufuatia maelezo uliyoweka badala ya kujibu swali nililokuuliza awali]; hiyo 'asilimia kubwa' mnayokubaliana ilipatikana kwa takwimu au uchaguzi gani?

Vv
Mimi nimekuuliza swali jibu Kwanza mengine tutaendelea
 
Yes na hiyo ni kwasababu sioni Chama kingine ambacho chenye uwezo watu hapa watanipinga sana kwa mihemko lakini ukiwauliza wanipe sababu hata 5 tu kwanini CHADEMA wanastahili wapewe nchi hawatanijibu watakimbilia kutaja madhaifu ya CCM ndipo hapo point yangu ya msingi inaonekana
Acha kutumia kinyeo kufikiria PUMBAVU wewe
 
Back
Top Bottom