Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Kama ndoa ni ngumu jaribu upweke, ndipo utakuja kugundua hamna kitu kibaya kama upweke.

Uzuri u anajijua kazi inabaki kwako kujirekebisha.
 
Mimi naona sio roho ya ugomvi ni kiburi cha kupendwa,wanawake tukipendwa Huwa tunaona wanaotupenda ni mafala tu na hata tukiachana tutapata mwingine
Hiyo mindset tu hakuna mapepo badili mtazamo muone mumeo kama kitu Cha thamani licha unajua kuwa ni dhaifu kwako
Fanya mazoez ya kuongea maneno mazuri Kwa mwenzio kma huwez google huko utayapata,fanya zoez Hilo hata Kwa mwezi mmoja utaona mabadiliko

Kuwq mwepes kuomba msamaha pia
Mungu akufanyie wepesi my dear
 
Hii ndio busara sasa,Big up sana.
 
Mi mwenyewe kama unasema ndo uko hivo nisingekuacha
Mna maendeleo....na mtu anaweza kukutrust na mshahara wake
Wewe mzuri na umesema una shape😁😁😁
Downside yako ni ugomvi tu😁😁😁😁
Ah ntapambana ugomvi wa mtoto wakike hauwezi nihamisha kambi😂
 
Mzee DeepPond alikuja na mada yake watu wenye unyayo FLAT mkaipuuza sijui mods wameifuta.

Hembu juangalie kwanza kama unao UNYAYO FLAT.
 
Namimi ni mhaya aisee na mama yangu aliniambia mama yake alikua hivi yan bibi yangu,,, bahati yake alipata mwanaume anaempenda sana mpaka kumpikia anampikia na kumtengea.....mi siyataki haya mambo nataman niwe mke mwema
 
Namimi ni mhaya aisee na mama yangu aliniambia mama yake alikua hivi yan bibi yangu,,, bahati yake alipata mwanaume anaempenda sana mpaka kumpikia anampikia na kumtengea.....mi siyataki haya mambo nataman niwe mke mwema
@lady in action pole sana dada,nnae dada nimezaa nae anatabia copy nakupaste kama zako,tofauti yake yy nimgomvi hata kwa watu wengine,hadi ndani ya familia yake,nikiri kukutana namtu wa aina yako
Majibu waliyonipatia watu ni
1.jini mahaba
2.malezi mabovu-maana hata wazazi wake anawakalipia hawasikilizi sana
3.kurogwa-kwakua nimzuri asipate mwanaume wamaana.
Yuko na 23yrs ,hatujafunga ndoa,tumezaa mtoto mmoja anamiaka2.kusema ukweli nichangamoto sana kwa mwanaume(kanda yaziwa),yy mtu wa pwani(mmwera)..anaongea balaa,anapenda ugomvi kama kula,malumbano nahoja namalalamiko kila mara an worse enough anaamini mda wote unachepuka,hana akili ya maendeleo ,,hawezi kusettle kufanya kazi,anaamini nnazo hela kumbe mm kapuku tu anaamini nnawapa watu hela,chartings zake zina ashiria ugomvi daliy sio mwepesi kuomba msamaha,anadai ananipenda lkn ktk vitendo nizero..familia yangu ishasema niachane nae namm nimedhamiria kuanchana nae changamoto nimtoto..ila kusema ukweli kichwa changu kinawaka moto,,,watu wanasema ananyota ya moto mm maji,wengine ananyota sijui ya simba mm kondooo,hadi majirani anaingiacnao ugomvi.hatujawahi kukaa tukapanga jambo kama wapenzi tunaishi kama vilw tuko stand.ananogesha mazungumzo nawatu wa nje zaidi kuliko mm.anaishi kwao sometimes kwangu.
 
Hilo Ni pepo la ngono

Inabidi tukupake karafuu maiti na kukuchinjia kuku mwekundu ambae hajawahi pandwa
 
hivi wanawake wakorofi wanapatikana wapi natamani nimpate mmoja wakumtia vitasa maana huyu ma mtu hata nkimpiga kofi najisikia vibaya naona kama nmemuonea tu, nilidhani wakurya ni wakorofi kumbe wapi njoo nikiutie vitasa mpaka uenjoy ila sikuui sitakikesi
 
Jaribu kujifunza wazungu wanaishi vipi au nenda shule na mhame uswahilini haraka sana kama mpo uswahilini hameni, hii tabia umezaliwa nayo kwa kuiga jinsi mama ako alivompiga baba.
 
Aloo kwa jinsi ulivyoelezea kwangu mimi ni either haupo duniani au kama upo basi ungekuwa na kilema cha maisha
 
Tabia inayojirudiarudia ni dalili ya mapepo. Utakua na jini mahaba , linakuonea wivu na halitaki uwe kwenye relationship.
Tafuta watumishi wa Mungu wakusaidie kutoa mapepo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…