Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Kumbeeee
 
Andika kitabu, una mikasa mingi sana.
 



Fanya matibabu ya akili haupo sawa

Mshamba hachekwi
 
Pole sana
 
Pole sana
 
Mtafute mshana au Mzizimkavu humu jukwaani kazi mdogo sana hio
 
Nimekusoma zaidi ya mara 10 na nikatafakari sana,na ni kweli kuwa unateseka sana ika kwa sasa umepata ufumbuzi kwani umejitambua.Sijajua dini yako ni ipi kwani nakushauri uanzie hapo kutafuta ufumbuzi.Kuhusu mume,yes huyo uliyenae ndio mumeo na ndiye Mungu kakupa na ndie atakayakurekebisha.Sasa fanya mambo yafuatayo:
1.Weka nia ya kwa kumshirikisha Mungu kwa dini yako kuwa unaukataa huo uovu wote
2. Mwambie huyo mwanaume huo uamuzi wako na nyote nendeni kwa kiongozi wenu wa dini,ukamuelezee hiyo shida yako na uamuzi wako kuwacsasa huutaki huo uovu wako wote.
3.Funga ndoa na huyo mwanaume na msifanye harusi kubwa bali funga ndoa mkuwa na ndugu wachache na marafiki wa karibu tu.
4.Ongezeni frequency ya kunyanduana na kwa staili nyinginyingi ili mjenge ukaribu baina yenu
5.Kila mkipata nafasi tembeleeni wazazi wa pande zote mbili na mara zote ombeni na hao wazazi wenu ndoa yenu ibarikiwe
6Kwako weee kila unapoanza kuhisi hasira inakupanda,haraha sana ondoka karibu na mumeo,nenda kwa rafiki yako,ndugu yako au jirani yako,hasira ikiisha rudi home mbusu mmeo,cheza nae na ikiwezekana mpe papuchi aikanyage sawasawa
Mengine iwapo utapenda nikusaidie niambie ili nikusaidie polepole mpaka umalize hilo tatizo Pole sana mwanangu maana nie naweza kukuzaa.Asante
 
Mkuu fimboyaukwaju hapo kwenye namba 4 umeupiga mwingi Sana.
Msingi mkuu wa ndoa ni kujamiiana vikali.
 
Sorry, naomba ufafanuzi kidogo kwa huyo wa kwanza, mliishi miezi miwili tu, lakini ukaondoka na mimba ya miezi sita.

Ova
 
Pole kwa changamoto unazopitia. Tatizo unalolielezea linaweza kuhusiana na changamoto za kihisia au afya ya akili, kama vile impulse control disorder, bipolar disorder, au athari za matukio ya awali katika maisha yako (trauma).

Hali hii inaweza kudhibitiwa kwa msaada wa kitaalamu.

1. Tafuta msaada wa kitaalamu
- Therapist au mtaalamu wa afya ya akili: Tafuta mtaalamu ambaye unaweza kuzungumza naye. Atakusaidia kuelewa mizizi ya tabia yako, iwe ni kutokana na trauma, hali ya kihisia, au matatizo ya homoni.
- Mtaalamu wa familia na mahusiano: Ikiwezekana, mwalike mume wako katika mazungumzo haya. Inaweza kusaidia kuboresha mawasiliano kati yenu.

2. Tambua na urekebishe vichochezi vya hasira yako
- Andika kwenye journal au daftari kila mara unapogombana. Tambua kilichokuudhi, ulijisikiaje, na nini kingeweza kufanyika tofauti.
- Mara unapojua vichochezi vyako (trigger points), utaweza kujifunza kuzidhibiti. Mfano, badala ya kuvunja vitu au kuanzisha ugomvi, jaribu kutoka kidogo, kupumua kwa kina, au kujitenga hadi utulie.

3. Jifunze mbinu za kudhibiti hasira
- Deep breathing: Ukiwa na hasira, pumua ndani kwa kina kwa sekunde tano, shikilia pumzi kwa sekunde tano, kisha toa taratibu. Rudia mara tano.
- Zungumza polepole: Jitahidi kuelezea unavyohisi badala ya kufoka au kutumia vitisho. Mfano, badala ya kusema, “Wewe ni malaya,” sema, “Najisikia vibaya nikiona ujumbe kama huu.”
- Jitenga unapohisi unakaribia kulipuka: Kusema, “Naomba muda kidogo nitulie,” kunaweza kuepusha mabishano yasiyo ya lazima.

4. Zungumza na mume wako kwa uwazi
- Elezea jinsi unavyojiona na kujuta baada ya ugomvi. Mwambie unahitaji msaada wake kushinda changamoto zako.
- Mweleze jinsi unavyothamini juhudi zake za kuvumilia, lakini pia uweke mipango ya kubadilika. Mfano, mnaweza kuanzisha safe word ya kutumia ili kusimamisha ugomvi kabla haujawa mkubwa.

5. Jipe muda wa kujitunza (Self-care)
- Pata muda wa kufanya vitu unavyovipenda, kama kusoma vitabu, kufanya mazoezi, au kujiingiza kwenye shughuli zinazokuondolea stress.
- Jifunze kutunza afya yako ya mwili na akili kwa kupata usingizi wa kutosha, kula chakula bora, na kuepuka vinywaji au vyakula vinavyoongeza msisimko wa hasira (kama vile pombe kupita kiasi).

6. Shirikisha familia na rafiki wa karibu
- Ikiwa unaweza, waelezee watu wa karibu kile unachopitia. Wanaweza kukusaidia kwa ushauri au kukuweka kwenye njia sahihi unapokosea.

Mwisho kabisa: Usijichukie.
Hali unayopitia si kwamba wewe ni mbaya, bali ni tatizo ambalo linaweza kushughulikiwa. Unayo nafasi ya kubadilika na kurekebisha mambo.

Jitahidi kujipa moyo na kuamini kuwa hatua unazochukua zitakusaidia kupata amani ya kudumu ndani yako na katika familia yako.

Ova
 
ushauri mzuri pia
 
Nifanyeje jmn either nikae Sawa au niondoke bàdo mapema maana huyu siku akichoka sijui atanifanya nn.
Mwenzio alipewa magazeti na biscuits kwenye safe au tuite tranka la wanafunzi la kilo 50 sasa wewe tutabidi tukufanyie mpango usuuzwe rungu upo tayari kusuuzwa rungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…