Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

You attract fools...

Uje upate mwamba asiye na maneno mengi halafu ujichanganye ule kofi zito. Hutarudia kuleta kiburi, dharau na ukorofi.

Unaonea sana hao vijana malofa.
 
Kuna tabia ni common kwa wanawake. Hata mwanaume ukae kwa amani basi utatafuta chokochoko tu. Sasa sijui mna nn dada zetu.
 
Wa namna hii usimzalishe. Achana naye tu.
 
Nani mwingine kaona huu mwandiko wa Men kama mimi
 
Unakuaje na akili ya maisha na maendeleo alafu huna ya kucontrol mdomo na fujo 🚮
Hapo ametupiga.....harafu kila Mwanamke wa JFs anaolewa na vibosile tu
Hakuna hata mmoja anaolewa na Apeche Apeche
 
Tatizo sio kuwa na kasoro katika maisha, tatizo ni kuwa umeisha jua madhaifu au matatizo yako katika maisha na Bado hujayafanyia kazi kikamilifu.
Hili dawati la jinsia upande mwingine limeharibu nyumba za watu. Enzi za wahenga ilikua hamna kuvuruga amani nyumbani au utapa makofi mawili kama huduma ya kwanza kurudisha akili zako sawa ikiwa Bado unaataka dozi zaidi basi mkwaju utatoa jeuri yote na usiku utatoa ushirikiano kupitia lazima kama kuonyesha kuwa Sasa uko sawa na umerudi kwenye msitari ulio nyooka
 
Ukorofi wako hauishi sababu hao wanaume wanakudekeza.
Ukipata mwanaume ambaye hakudekezi utakaa kwenye mstari, na utakua mke bora Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…