Siitazami ajali ya ndege kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake

Hivi hizo ndege za kampuni ya Prescion Air hazina kisanduku cheusi. Black box? Inaonyesha Kila mtu anatoa maoni yake chanzo Cha ajali. Tuziachie mamlaka zitupe taarifa rasmi badala ya kutulisha matango pori.
Hutoona hiyo taarifa ng'o ! Mana siasa hutamalaki kila nyanja. Hii ilitakiwa kiongoz mmoja ajiuzulu kwa kashfa hii. Kwani wameweka kipaumbele kununua mashangingi yao. Hivi serikali inashindwa kununua gari za kawaida na pesa zingine zitupiwe kwenye vifaa vya uokoaji. Baada ya hili ndio utasikia wamenunua zimamoto 2 kutufumba macho, kwenda......
 
Nimeupenda sana mstari wako wa mwisho
 
Pia nadhani rubani ana mchango wake katika ajali hii, kwa nini asingeenda kutua Mwanza baada ya kuona hali ya hewa siyo nzuri?
Hapo ndipo tunasema chanzo sio Hali ya hewa ni matairi kukataa kutoka. Ukimsikiliza yule dogo alieokoa watu 24 anasema ndege ilizunguka ziwa zaidi ya mara nne. Mara ya mwisho ilikuja na speed Kali kuliko ilizokuwa nazo wakati inazunguka
 
Si kuna kibox cheusi (black box) kila kitu kitakaa sawa....
 
Kama picha inakuja kama ukiunganisha na maelezo ya yule kijana kuzuiwa kuvunja mlango na wakati huo kwa haraka sana kijana kuingizwa kikosini haraka sana, yawezekana dogo amefungwa mdomo
 
Kuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege??

Kuna Bomba unaweza shika ndani ya ndege kama daladala za RANGI tatu mbagala??
Mimi naisi katika kuhesabu majerui, uenda walimuhebu yule kijana aliyekwenda kuokoa maana na yeye alipata dharuba ya kuchapwa na kamba akapelekwa hospitali wakazani alikuwepo kwenye ndege. Kwahiyo bado mmoja. Ila taarifa rasmi ikitoka itaweza kueleza walizidi wametoka wapi
 
Vipi Mkuu kuhusu kile kisanduku cheusi kishapatikana , ili taarifa zake zisaidie kwenye uchunguzi kuhusu hii ajali.?
 
Suppose wameangalia na kusikiliza mawasiliano ya rubani na Control tower ikajulikana muonozaji ndee hakumpa rubani maelekezo uliyosema, ukishitakiwa na kufungwa au kutozwa faini/fidia pesa nyingi utaona umeonewa?
Acheni uchunguzi wa kina ufanyike. Kwa utaratibu wa ajali za ndege utafanyika uchunguzi wa kimataifa ukishirikisha watengenezaji wa ndee, bima, wamiliki wa ndege, mamlaka ya anga ya Tanzania, n.k.
Ukweli wote utajulikana.
Ajali hutokea iwe kwa uzembe au itilafu za ndege, makosa ya rubani, au makosa ya muongoza ndege(Air traffic controller).
 
Kwani awali ndege ilitaka kutua Mwanza ikashindikana ndo ikaelekea Bukoba? Make Kuna abiria waliopoteza maisha kwenye ajali walikua washukie Mwanza.

Je, ni kweli kuwa hali ya hewa ya Mwanza ndo chanzo za kuilazimu Rubani kuelekea Bukoba? Na pia kwa uzoefu wa Hali ya hewa ya Mwanza na Bukoba wapi panakuwa na angalau? Mamlaka ya Hali ya hewa kwenye viwanja vyetu hawawasikiani kutoa ushauri ni wapi angalau Kati ya Mwanza na Bukoba? Ili Rubani afanye maamuzi sahihi Kati ya Arusha au Chato Kama kweli alishindwa kutua Mwanza.
 
Acha ujinga basi hakuna wakunishitaki; nimesema inasemekena; hivyo usikurupuke
 
Kwenye biashara hizi kuna mambo sana nakumbuka kisa cha basi za mtwara raha mambo yalikuwa hivihivi,
 
Acha ujinga basi hakuna wakunishitaki; nimesema inasemekena; hivyo usikurupuke
Kwani huelewi neno suppose linamaanisha nini?
BTW, ukiona mtu anakuwa mkali anatanguliza maneno makali kama kuita wenzie wajinga ujue amekosa hoja. Ongeza kunitukana na matusi mengine amkali ufurahi labda utapona ugonjwa wako.
 
Kifungua namba mbili ya uliyoandika yamejirudi kulekule!
Viongozi wetu wanakuwa na mhemuko badala ya ukweli!!
 
Si kweli ndege zote utua Mwanz ndo Bukoba Mwanza ilitua tu
 
JANA NILISEMA KWA KUNONG'ONA KASIJE KAKAWA KAUSHINDANI KA UNAFIKI NAFIKI.K KIUKWELI KAMA KAVITA MBUZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…