Siitazami ajali ya ndege kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake

Sawa kabisa nitatizo la kimifum, Ili nasisi tusimlaum naomba majibu ya maswali yafuatayo;

1:Mifumo imeshuka kutoka Mbinguni?

2:Je mkuu wa mkoa Yuko nje ya mifumo
hiyo?
3:mkuu wa mkoa ndie mwenye Kiti wa kamati ya ulinzi na usalama , kwenye eneo husika , tunawezaje kumtenga na hiyo Mifumo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CARDLESS, ASANTE SANA.
Kwa uchambuzi yakinifu. Na ndio maana nilinena kwamba viongozi wetu hata aliyeamuru kijana kupewa nafasi ya kazi Jeshi la maji ni kikurupuka!
Uweke aliyeko kwenye maji afungue mlango.
Mlango ulifunguliwa kutoka ndani!

Kwa muonekano wa eneo la mbele hasa Kwa marubani angewezaje kufika mtu pale tena kutoka nje!?
Kuweni wakweli wa mambo sifa za uwongo.
 
Na mm najiuliza maswali yafuatayo:. 1.Kwann rubani alizunguka muda mrefu akitafuta kutua kwann asingerudi Mwanza ?Au Chato?Kwann Ilikuwa lazima kutua Bukoba tu hata Kama hali ya hewa ni mbaya?3.Je ndege za bongo huwa hazina akiba kubwa ya mafuta ili Kama hali ya hewa sio nzuri basi mrudi mbali zaid kuokoa maisha?
 
Uliyeandika habari hii unafaa kuwa kwenye chama cha wale shushushu

Kwa sababu kuna taswira / lugha ya picha inakuja vile umeandika haya
 
Punguza makasiriko mkuu na kama nimekukwaza kwa comment yangu mpaka ukaona nina wivu wa kike bado sina budi kuomba unisamehe bure tu. Asante
 
Hii ni point pia
 
sirikali inahusika 100%, it was planned maoni yangu kama raia mwema.
 
Naweka demo hapa, hali mbaya ya hewa ndiyo iliigeuza ndege that's all.
 
NYUMA YA PAZIA KUNA MCHEZO MCHAFU.

KAFARA.
HUJUMA.
UMAFIA.
BIASHARA.
RUSHWA.
UONGO BILA BLACK BOX.

ILA CASSIM MAJALIWA NI KIONGOZI MUONGO SANA.
AKIWA MSIKITINI ALISEMA JIWE ANAPIGA KAZI MAGOGONI KUMBE JIWE AMEISHA KUFA.

MAJALIWA MUONGO SANA
 
Baada ya mlango kufunguka ikawaje?

Malizia bwashee
 
Presha ipi ya maji we mwehu? Milango ya nyuma yote haikuguswa na maji au hujangalia??
Hujawahi kuogelea na wala huyajui maji, pia hujawahi kupanda ndege kwa namna yoyote ile, usingeongea kijinga hivi.

Maji yaliingilia wapi, wakati wote wametokea milango ya Nyuma na ambayo haikugusa maji kwa kuwa kulikuwa juu? We umeangalia hiyo ndege au umeleta kende zako bila akili??
 
Ubongo wangu umegoma!!
Hii ajali ni ya mchongo!

Ilikuwa lazima rubani are asisanue ukweli!

Dogo majaliwa alijikuta ICU baada ya kuchapwa na kamba na sio kofi la ki anatomy!!

Labda kuna kampuni MPYA ya ndege loading ya twafa gass!?


0101 wanajua VIZURI Sana!

Over

Written!
 
Kwa mtazamo wangu ni Uzembe tu tena wa makusudi - na huu umekomaa tangu enzi za MV Bukoba bado hatujajifunza lolote, sasa hivi tuna kitengo cha kufa na kuzikana na si kitengo cha Maafa na uokoaji.

Ukishakufa mzee yaani matarumbeta kibao - tukubali tu kwamba tuna matatizo katika nchi yetu mambo hayaendi sawa.

Kama hata kuchaguana wenyewe kwa wenyewe tuongozane hatuwezi huko kuokoa wenzetu tutaweza ?
 
Kufungwa uwanja wa Bukoba ni sahihi kwa sababu si Salama, tena ni majuzi tu wametoka kufanya mazoezi ya utayari.

Tuibane serikali tunataka uchunguzi huru wa black box, mbivu na mbichi zipo kwenye black box.
Wafaransa ndio wanachunguza hiyo black box
 
We kima tulia upapaswe. Kama milango ya nyuma isingeingiza maji basi watu wote wangetoka wazima kabisa. Hukusikia kwamba waokozi waliingia halafu maji yakawa wanaongezeka hadi kima cha shingo wakaamua kutoka. Kwamba hukuona kabisa kwamba nusu ya ndege ilikua kwenye maji. . Tuliza mshono hudumia familia we mama haya mambo ni magumu sana kwako

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa ni tairi ziligoma kutoka na siyo hali ya hewa kama tulivyoelezwa. Ingekuwa hali ya hewa, angeweza kwenda hata Chato! Sema business!
 
Itakuwa ni tairi ziligoma kutoka na siyo hali ya hewa kama tulivyoelezwa. Ingekuwa hali ya hewa, angeweza kwenda hata Chato! Sema business!

nakubaliana na wewe pia, inawezekana technical issues zilimlazimisha kutua kibabe japo hali haikuwa hali.

Kama alikuwa na wese la kutosha kufika Mwanza sidhani kama pilot mzoefu anaweza kutake risk huku akijua kwenye aviation hakuna kubahatisha... lipo lililomlazimisha kulazimisha kutua Bukoba tena ziwani...

Kama sio uzembe wake basi pilot, basi ni technical issues zilimuogopesha kwenda Mwanza maana alihisi asingetoboa na angeweza kuangukia pabaya na madhara yangekuwa makubwa, option pekee kuforce kutoa bukoba na hizo hizo technical problem zikaleta failure in landing gear, the only option ikawa ditching in safe location...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…