Siitazami ajali ya ndege kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake

Precision Air umiliki mkubwa unatoka shirika la ndege Kenya Airways pamoja na baadhi ya watanzania waliokuwa wanasuasua kuliendesha.

Nafikiri vita anayopigwa PM kuna watu ndani ya CCM wanamtaka mtu wao awe hapo ili kufanikisha uovu uiokusudiwa.
 
Tupe mtazamo wako sasa
 
Simply. The plane was being set for an accident.. lazima ingetokea tuu.. sisi waafrika hatuna kasumba ya kujiandaa na maafa.. mfano, ndege imeekwa mafuta ya kwenda bukoba tuu.. na ilipitia mwanza.. kwanini hawakukagua mafuta na kutambua kwamba yangetosha for any emergency perceived? Kwa sababu lazima waliambiwa kua mvua inanyesha bukoba.. kama rubani angechagua kurudi mwanza all 43 peoples would have died in a horrible accident.. at least alifanya maamuzi ya kiume kutua kwenye maji. Amesave 26 souls.
 
Ajali yoyote narudia YOYOTE ya ndege lazima chanzo ijulikane kwa sababu kunakifaa inafanya kazi ya kurekodi mfumo mzima wa ufanyaji kazi kuanzia ndege inaporuka mpaka pale inapotua hata kama ndege itaungua yote hicho kifaa lazima kibaki salama, hakuna ajali ya ndege iliyowahi kutokea na ikashindwa kujulikana chanzo cha ajali labda ndege iwe imepotea na isijulikane imedongoka wapi kama wameshindwa kufanya uchunguzi waombe msaada kwa nchi zingine hatutaki siasa kwenye uhai wa watu wetu, assume kwenye hii ajali ingekuwa kunafamilia ya kiongozi moja mkubwa wangetoa taarifa ya kipuuzi kama hii wanayotuletea bado hainiingii akilini,You came from no where you give you're ga damn speech mother fucker utaziba pengo la waliokufa?
 
Acha ujinga ndege Tatizo si mafuta
 
Precision Air umiliki mkubwa unatoka shirika la ndege Kenya Airways pamoja na baadhi ya watanzania waliokuwa wanasuasua kuliendesha.

Nafikiri vita anayopigwa PM kuna watu ndani ya CCM wanamtaka mtu wao awe hapo ili kufanikisha uovu uiokusudiwa.
Makamba nadhani
 
Kuna kitu very fishy kwenye jambo hili.


Ningekuwa na mamlaka, huyu aliyeanzisha thread hii tungekuwa tumeshaanza kubadilisha mawazo, asingetoka pembeni yangu kwa siku kadhaa. He has all the clues

Naanza kupata hint kwa nini yule kijana mwokoaji alizuiwa kuvunja kioo kuwaokoa marubani! Watu hawa waliofanya hivi wanatakiwa kuwa wa kwanza kuhojiwa
 
Kwanza kabisa ningekua mim ndio ningekua dictator uchwala.
RPC ningemtimua, maaskari wote walokua wamesimama eneo la tukio ningemtimua.
Mkuu wa mkoa ningemtimua.
Na huyo alikuepo control tower yeye pia natimua
Kutimua tu basi?
 
Na mm najiuliza maswali yafuatayo:. 1.Kwann rubani alizunguka muda mrefu akitafuta kutua kwann asingerudi Mwanza ?

Inasemekana aliambiwa apige round ili watafute namna ya ku-resolve malfunction.

Au Chato?Kwann Ilikuwa lazima kutua Bukoba tu hata Kama hali ya hewa ni mbaya?
Economic factor.

3.Je ndege za bongo huwa hazina akiba kubwa ya mafuta ili Kama hali ya hewa sio nzuri basi mrudi mbali zaid kuokoa maisha?
Alizunguka angani kwa muda, alipoona no help, akaamua atumie method of first principle. Understood, now?
 
Unaishi ndotoni amka.

Huwa nashangaa sana watu wenye akili nzito kama wewe bado mnaishi.

Umeshaambiwa hapo kuna CONSPIRACY. Elewa.
 
Majibu yatapatikana kutoka chumba cha kuongozea ndege, kupitia mawasiliano ndani ya lisaa 1 kabla ya ajali kutokea. Yale majadiliano, yataonyesha hali halisi ya kilichotokea.
Baja baja wataeema umeme ulikatika au harddisc ya server ilijaa so no record hadi kwenye blackbox na sijasikia kama imepatikana au lah
 
Kwakweli mkuu, nimesikiliza almanusura watatu mpaka sasa sisikii hata mmoja akizingumza jambo linalofanana na alichofanya majaliwa...
Mtu Mpaka ana faint kwenye maji sio kitu cha kubeza angeweza kupoteza maisha yake pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…