whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Wajitahidi kuhoji hao maiti hadi wajibu hayo maswali yao kama yatawasaidiaKAZI yetu ni KUHOJI na wahusika watoe majibu SAHIHI, tusiwajibie maswali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajitahidi kuhoji hao maiti hadi wajibu hayo maswali yao kama yatawasaidiaKAZI yetu ni KUHOJI na wahusika watoe majibu SAHIHI, tusiwajibie maswali.
Unamjua mtu anaitwa Majaliwa Kassim Majaliwa?Hivi hizo ndege za kampuni ya Prescion Air hazina kisanduku cheusi. Black box? Inaonyesha Kila mtu anatoa maoni yake chanzo Cha ajali. Tuziachie mamlaka zitupe taarifa rasmi badala ya kutulisha matango pori.
Chief ni sawa, silaumu ajali ilivyotokea.tutasema mengi lkn ajali ni ajali tu ndo maana tunasema ajali haina kinga.kwangu simlaumu mkuu wa mkoa kwa lolote lile na nina sababu za msingi.kwangu tatizo ni la kimifumo tu.tuzidi kumwomba Mungu kwa wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja au nyingine wapate faraja na nguvu hasa kwa kipindi kigumu kama hiki.
moja sista wa kanisa katoliki mwingine ni mchina.Taarifa rasmi ya mwanzo ni kwamba abiria walikuwa 39 na wafanyakaz wanne
Je hao wawil ni akina nani na kwann hawapo kwenye takwimu rasmi ya safari, walifuata nini na je, walikuwa na nia ipi na hiyo safar?
Kuna mdau alidokeza chanzo ni maofisa wa uwanja hasa wa control tower kutoresponse alichokuwa anasema ruban mana alidai matairi yanagoma kufunguka , maofisa wakamwambia azunguke ziwani asubiri wampe maelekezo , jamaa akazunguka , mwisho akawajuza kuwa mafuta yanaisha wampe jibu chap , wakamwambia aipeleke ziwani , mana ni karbu watu wa rescue watakuja chap .... Matokeo yake ndo hayo hapo watu wa rescue hawajatokea , ndo mana huyo mkrugenzi alijua ni uzembe wa maofisa wa uwanja wa ndege kutowajibika mpak watu wanakufa ..... sema ikabd alilie moyoni tuu... Alaf huyo jamaa mwingine aliyetabir ndege kuanguka ndo wale wale tuu waliohusika kuyaharbu matairi kishetani , na yeye aulizwe , utabir wa kisenge senge tuuu
Labda wamefitisha viti vya ziada, kama kwenye vipanya.Kuna taarifa juu ya watu 2 kuzidi ndani ya ndege??
Kuna Bomba unaweza shika ndani ya ndege kama daladala za RANGI tatu mbagala??
Hata hii ilivyotokea Kigoma mwaka 2012 ilisemwa hivyo hivyo!Kuna watu wameamua kutaka kuua biashara ya mtu!!
Mi bado siielewi taarifa zinatofautiana sana juu ya idadiii ya watu waliokuwa ndani ya ndege walianza kwakusema majeruhi 26 waliokufa 19 jumla yake 45 lakin sasa waliokufa 19 majeruhi 24 sa sijui ipi ni ipi hapa🤷♂️Uwezo wa ndege ni abiria 48
Ama 43 au 45 bado hawajazidi
Iko hivi:Mi bado siielewi taarifa zinatofautiana sana juu ya idadiii ya watu waliokuwa ndani ya ndege walianza kwakusema majeruhi 26 waliokufa 19 jumla yake 45 lakin sasa waliokufa 19 majeruhi 24 sa sijui ipi ni ipi hapa🤷♂️
Pia nadhani rubani ana mchango wake katika ajali hii, kwa nini asingeenda kutua Mwanza baada ya kuona hali ya hewa siyo nzuri?Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;
Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda sikutakiwa kusema watakuwa wanakosea sana maana nilipumzika kuandika Makala ndefu ndefu nikaishia kuwa naona kama nishaandika kila kitu Kwa wakati sahihi linapotokea ndo nafufua uzi husika wa mada husika !
Swala la ajali hii ya ndege linafikirisha mengi sana nimekuta mtu sehemu anauliza mambo ya msingi Kabisa nikashirikiana naye kuwaza haya
1. Nikiwa nawaamini sana Marubani wa Precision air pengine kuliko wa mashirika mengine, pasi shaka hata chembe najiuliza kwa nini ndege hii imeelekea kwenye uelekeo tofauti wa runway? Katika hili najiuliza Control Tower ilikuwa na ofisa? Na kama ndio alikuwa anafanya kazi gani? Au kwa nini hakutoa vzr/alitoa maelekezo tofauti ya jinsi ya kutua? (Hili linakuja kaa kuwa Rubani yeyote anaweza kutua kiwanja chochote kipya kwa maelekezo kutoka chumba cha waongoza ndege akiwa 5-30miles) juu ya jinsi ya kutua, speed, distance ya kugusia runway, hali ya hewa etc).
Hapa najiuliza sipati majibu na inanipa maswali juu ya chanzo cha ajali hii.
2. Ndege inasema ilikuwa na abiria 43 lakini idadi ya majeruhi 26 na marehemu 19 inafanya maswali mengi. Sitaki kulaumu sana kwa kuwa ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria 48 ila TAA ichunguze hii ATC ilitolewaje? Nani walihusika.
3. Ndege imezama, yaan iko sehemu salama kimfumo wa ajali za ndege, tena mita 100+ tu kutoka kiwanja ila uokoaji umechukua masaa zaidi ya manne, RPC anasema watu watulie kila kitu kiko under control, control ipi?...HII NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YETU.
4. Waziri Mkuu ameagiza uwanja ufungwe... Je kuna siri gani hapa nyuma ya pazia? Uwanja una shida gani kama kila kitu kilikuwa sawa? Kama kila kitu kilikuwa sawa ina maana watu wasisafiri tena kwenda Bukoba sababu ya ajali hii? KUNA NINI CHA KUFUNGIA UWANJA?
5. Nimemuangalia Mkurugenzi Mtendaji wa Precision Airways(Patrick Mwanri) akiomba watu tusipotoshe Umma juu ya ajali hii, amebeba uchungu mzito sana akizungumza akiwa analia machozi mbele ya waandishi... It is not normal, hata kama jamaa anaumia kibiashara ila anajua kabisa Bima watamlipa ila swali la chanzo cha ajali hii na matokeo yake yanawagusa sana Precision kuliko sisi wote.
Binafsi siitazami ajali hii kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake.
Tuwe sometimes na Uwezo wa kuchunguza yanayoendelea chini ya carpet bila kusubiria kulishwa kila taarifa
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca
Tumekusikia msaidizi wa Mwanri!!Uwezo wa ndege ni abiria 48
Ama 43 au 45 bado hawajazidi
Noted ✔️Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;

Pengine swali la msingi hapa ni je why haipiti miaka mitano lazima ziwa victoria liondoke na watu?kuna Siri gani?...kuna matambiko ya damu tunafanya? Sisi si ndo nchi ambayo albino wanauwawa kutafuta Utajiri?..
Laiti tungekuwa na private investigators bao hawapo bias tungepata mengi sana.Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;
Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda sikutakiwa kusema watakuwa wanakosea sana maana nilipumzika kuandika Makala ndefu ndefu nikaishia kuwa naona kama nishaandika kila kitu Kwa wakati sahihi linapotokea ndo nafufua uzi husika wa mada husika !
Swala la ajali hii ya ndege linafikirisha mengi sana nimekuta mtu sehemu anauliza mambo ya msingi Kabisa nikashirikiana naye kuwaza haya
1. Nikiwa nawaamini sana Marubani wa Precision air pengine kuliko wa mashirika mengine, pasi shaka hata chembe najiuliza kwa nini ndege hii imeelekea kwenye uelekeo tofauti wa runway? Katika hili najiuliza Control Tower ilikuwa na ofisa? Na kama ndio alikuwa anafanya kazi gani? Au kwa nini hakutoa vzr/alitoa maelekezo tofauti ya jinsi ya kutua? (Hili linakuja kaa kuwa Rubani yeyote anaweza kutua kiwanja chochote kipya kwa maelekezo kutoka chumba cha waongoza ndege akiwa 5-30miles) juu ya jinsi ya kutua, speed, distance ya kugusia runway, hali ya hewa etc).
Hapa najiuliza sipati majibu na inanipa maswali juu ya chanzo cha ajali hii.
2. Ndege inasema ilikuwa na abiria 43 lakini idadi ya majeruhi 26 na marehemu 19 inafanya maswali mengi. Sitaki kulaumu sana kwa kuwa ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria 48 ila TAA ichunguze hii ATC ilitolewaje? Nani walihusika.
3. Ndege imezama, yaan iko sehemu salama kimfumo wa ajali za ndege, tena mita 100+ tu kutoka kiwanja ila uokoaji umechukua masaa zaidi ya manne, RPC anasema watu watulie kila kitu kiko under control, control ipi?...HII NI AIBU KUBWA KWA SERIKALI YETU.
4. Waziri Mkuu ameagiza uwanja ufungwe... Je kuna siri gani hapa nyuma ya pazia? Uwanja una shida gani kama kila kitu kilikuwa sawa? Kama kila kitu kilikuwa sawa ina maana watu wasisafiri tena kwenda Bukoba sababu ya ajali hii? KUNA NINI CHA KUFUNGIA UWANJA?
5. Nimemuangalia Mkurugenzi Mtendaji wa Precision Airways(Patrick Mwanri) akiomba watu tusipotoshe Umma juu ya ajali hii, amebeba uchungu mzito sana akizungumza akiwa analia machozi mbele ya waandishi... It is not normal, hata kama jamaa anaumia kibiashara ila anajua kabisa Bima watamlipa ila swali la chanzo cha ajali hii na matokeo yake yanawagusa sana Precision kuliko sisi wote.
Binafsi siitazami ajali hii kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake.
Tuwe sometimes na Uwezo wa kuchunguza yanayoendelea chini ya carpet bila kusubiria kulishwa kila taarifa
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca
Maswali yako yote yatapata majibu.Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi;

Mkuu, Kuna vitu vingine vinaweza visisemwe, Ila nahisi wakati anataka kutua Mara ya pili, mafuta ya kwenda Mwanza hayakutosha, yawezekana Bukoba ndege ingejaza mafuta hapo, so ikabidi aipeleke ndege ziwani maana mafuta ya kuwarudisha Mwanza hayatoshi, Ila hayo ni mawazo yangu tu, taarifa kamili tutaipata baada ya uchunguzi kufanyikaPia nadhani rubani ana mchango wake katika ajali hii, kwa nini asingeenda kutua Mwanza baada ya kuona hali ya hewa siyo nzuri?
Unategemea kwa ukubwa wa ziwa Victoria mpaka kuzungukwa na nchi tatu za afrika mashariki.. probability ya kupata ajali ndani ya ziwa itakuwa ni sawa na probability ya ajali kupatikana kwenye beseni sio?..Pengine swali la msingi hapa ni je why haipiti miaka mitano lazima ziwa victoria liondoke na watu?kuna Siri gani?...kuna matambiko ya damu tunafanya? Sisi si ndo nchi ambayo albino wanauwawa kutafuta Utajiri?..
Nimeona hiloLaiti tungekuwa na private investigators bao hawapo bias tungepata mengi sana.
Lakini kikubwa umeweka hoja za msingi sana. Tunawezaje sasa kupata majibu?