Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

Kitambi nacho kikishazidi hata suti haipendezi tena.
 
Sio nguo tu angalia hadi moka imejikunja hapo
 
Ndugu yangu,hao ni wazee,zile nguo za kumodoa jua hilo hawawezi,yaani mtu miaka 30 iliyopita alikuwa anavaa bwanga ghafla aanze kuvaa modo.Lazima uelewe kuna nguo za umri fulani na fulani
Suti haina shida ila we ulitaka iwe modo
Mseveni anachekesha jamani
 
Kubali ni washamba tu,
Jk ana miaka 70 lakini anatupiamo
Ustaarabu ulianzia pwani,watu wa bara kuvaa magome ndio asili yetu
 
Kwani Makamo ni kabila Gani? Samahn lakin mtu mmoja anipe Jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…